ushauri wa biashara

ushauri wa biashara

biashara ya sembe ndo habari ya mjini kwa sasa.

Hili jibu ni dharau kwamba milioni moja siyo hela au unamaanidha nini? Bora ungekaa kimya tu uache wadau waje.

Mtoa mada wewe subiri tu kuna watu watakuja na ushauri mzuri.
 
Nina milioni moja nifanye biasha gani hapa jiji la Dar es salaam

Fungua kijiwe cha chips. It pays kama utasimamia mwenyewe. Tafuta eneo lenye traffic, kama Mabibo hostel..
 
Back
Top Bottom