Ushauri wa aina ya bunduki ya kununua

Hata ununue kila aina ya silaa watakuvamia tu. Mungu ndiyo silaha tosha,hakuna silaha nyingine zaidi ya kumuomba MUNGU.
 
Glock 26 ni nzuri sana na bei yake sio kubwa ni kama shs 2m tatizo ni namna ya kupata leseni, usifanye masikhara na leseni ukipitanjia ya halali unaweza kuchukua hata zaidi ya mwaka

Nadhani hii itanifaa sana, nafikiria kuanza kujilinda mimi binafsi....ushauri wako umekuwa wa maana sana kwangu
 

this lil toy......Ed Brown Kobra Carry Lightweight.......cha black sasa.......kitamujeeee.......
 

Attachments

  • image.jpg
    4.9 KB · Views: 438
Tht 44 inatabia ya kujifungua usalama wake.so browing 9mm ni nzur sana.cha msing jipange kupata lesen maana ni ishu SANA
 
Nunua Glock 19 ambayo caliber yake ni 9mm, hautajutia baadaye.
 
Asanteni. Nafkiri glock ina preference ngoja nikawaone wataalam.
Kuhusu na kibali, wandugu mtashangaa ilivyo rahisi kupata kibali cha bunduki tena kwa njia halali. Swala ni standing yako tu katika society. Kwa Dar ni kazi kubwa lakini ukienda mikoani na uwe na mtu wa karibu anefahamika haichukui hata miezi mi4.

Personally nisingependa kumiliki hii kitu lakini mazingira yananilazimu. Naamini kama swala ingekua kumwamini Mungu tu basi hata Crusaders na Jihadist wangeishia kusali tu.
 
Wakuu kwani kati ya hizo revolver na hizo za kawaida zipi ni bora zaidi ?na kwanini zitofautiane masharti ya leseni? mwenye ujuzi anitoe porini tafadhari !!
 
Hivi Tanzania inaruhusiwa mtu binafsi kumiliki short gani?
 

mura? nouyere?
 
Ask Tunda Pori
 
Nunua pachacha.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ask Tunda Pori

Huyu ndugu yangu nimeshamshauri anunue GLOCK 19, ni size nzuri na risasi za 9mm zinapatikana kwa urahisi.

"Glock is AK 47 of pistols"

Glock 19 ni Compact size, Glock 17 Standard size ( but too big to conceal), Glock 26 Subcompact (but too small to grip).

Glock inavumilia sana extreme weather conditions. Narudia hautajutia. Tegemea bei kuwa zaidi ya 2,500,000 TSh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…