Ushauri: Vyuo vikuu vibaki vitano tu nchini

Huo ni mtazamo wako hujaangalia kuwa Watu wanazidi kuongezeka hivyo demand inakuwa kubwa sasa vikiwa vichache si inakuwa kero na ubabaishaji
 
Hakuna cha cooperative manager wala cha saccos, serekàli futilia mbali huu uozo
 
Uchawi ndio huo.

Badala useme hata kila mkoa uwe na university unataka vipungue.
 
Training kubwa skiils middle level no siyo training of managers ktk vyuo ambap hawana watu wa kuwasimamia
 
Hakuna cha cooperative manager wala cha saccos, serekàli futilia mbali huu uozo
Hujajibu hoja Bwashee,
Jibu hoja
Serikali haiwezi kufuta ushirika Tena ndiyo unazidi kuukuza mfano kuanzisha Tume ya maendeleo ya ushirika, Kuanzisha Ushirika katika Kila taasisi ya serikali
 
wewe umefika kidato gani? wewe ni msukuma?
 
Nonsense, udsm hiyo watu Wana nunua GPA, watu Wana andikiwa research na supervisor WAo. Nonsense me nadhani ungeshauri standard za vyuo vikuu ziwe monitored.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…