Ushauri: Vyama vya Upinzani vifutwe, kibaki CCM pekee kama chama dola

Japo nitaumia sana lkn natamani vyama vyingi vifutwe alfu nione CCM itashindana na Nani?
Katiba ndio sheria mama inaruhusu mfumo wa vyama vyingi vya siasa lkn kihuhalisia vyama vyingi nchini Tanzania havifutwi kwa sababu ya kuwaogopa wazungu naamini leo hii kama sio wazungu ninaimani vyama vyingi vingefutwa hata kesho
Swali langu kuliko tuumizane wenyewe kwa wenyewe kwa sababu za kuwaogopa wazungu watakata misaada Kwanini tisibadilishe katika tubaki na ccm Kila mtanzani anayetaka kufanya siasa tuwe ccm wote nchi nzima?
vyama vingi ndo nini ccm wakiamua kuvifuta wanavifutaa tuu kwa maana wao ndio waliovianzisha na kuvisajili na wakawapeleka wana ccm kwenda kuvisimamia vyama vingi hivyo basi ccm muda wowote wakianua kuvifuta wanavifuta tuuu
 
Kwanini turuhusu mfumo wa vyama vingi vya siasa? Tumeshindwa kabisa kuvumiliana, tumeshindwa kabisa kuweka usawa kufanya siasa.

Tumeshindwa kuheshimu mawazo tofauti, tunalaumiana, tunakwazana, wakati mwingine hata kupigana.

Waafrika tunakwenda wapi? Tunatafuta nini? Kwanini turuhusu mambo ambayo yatasababisha umwagaji wa damu kwa Waafrika wenzetu?

Kwanini turuhusu mambo ambayo yanatugawa? Kwanini turuhusu mambo ambayo inaonekana kabisa hatutaweza kukubaliana nayo?
 
Mwingine anasema wazi wazi kwamba ni lazima tushinde jimbo fulani kwa gharama yoyote! Mnatupeleka wapi? Kwa nini tuwe na mfumo ambayo hatuna ridhaa nao? Tumeruhusu vyama vingii kufurahisha mataifa ya magharibi? Hapana, tuufute mfumo huu
 
Huu ni ushauri tu usikufunge mtukufu Rais na naomba ulitekeleze hili Kama itakupendeza maana katiba yetu ya nchi inakupa mamlaka hayo mtukufu wetu rais

Maana kwa mtazamo wangu naona hakuna haja ya vyama hivyo wote wawe Wana CCM ili tupambane ndani kwa ndani na wote wakiwa chini yako hakuna wa kufurukuta Wala nini! Mtu km mbatia anakua mwenyekiti wa CCM wilaya! Mtu kama Mbowe mwenyekiti CCM mkoa na wengine kams hao watakusaidia Sana wakiwa CCM kuliko hivi sasa mara wakalalamike kwa mabeberu mara sjui ICC sisi hatujawahi kupigishwa magoti bwana wahuni wanakaa mara sjui tusenti twao mh Rais na mwenyekiti warudishie vihela vyao wasitutishe tunakusanya Kodi zetu watatuambia nini sisi watuheshimu utu wetu wasitubagaze Wala kuutweza utu wetu tuchague heshima futa vyama vingi ili kina heche warudi CCM tunyang'anyane nafasi huku huku na hautokua rais wa Kwanza kufuta hata mwalimu alifuta vyama vingi ili tujipe muda wa kujiandaa maana km nchi bado hatupo tayari kuwa na vyama mbadala na kuongoza nchi kwa mfumo wa kupokezana vijiti kwa UWANJA sawa!

AHSANTE

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Huu Ni ushauri tu usikufunge mtukufu rais na naomba ulitekeleze hili Kama itakupendeza maana katiba yetu ya nchi inakupa mamlaka hayo mtukufu wetu rais

Maana kwa mtazamo wangu naona hakuna haja ya vyama HIVYO wote wawe Wana CCM ili tupambane ndani kwa ndani na wote wakiwa chini yako hakuna wa kufurukuta Wala nini! Mtu km mbatia anakua MWENYEKITI wa CCM WILAYA! Mtu km mbowe MWENYEKITI CCM mkoa na wengine km hao watakusaidia Sana wakiwa CCM kuliko hivi sasa mara wakalalamike kwa mabeberu mara sjui ICC sisi hatujawahi kupigishwa magoti bwana wahuni wanakaa mara sjui tusenti twao mh rais na mwenyekiti warudishie vihela vyao wasitutishe tunakusanya Kodi zetu watatuambia nini sisi watuheshimu utu wetu wasitubagaze Wala kuutweza utu wetu tuchague heshima futa vyama vingi ili kina heche warudi CCM tunyang'anyane nafasi huku huku na hautokua rais wa Kwanza kufuta hata mwalimu alifuta vyama vingi ili tujipe muda wa kujiandaa maana km nchi bado hatupo tayari kuwa na vyama mbadala na kuongoza nchi kwa mfumo wa kupokezana vijiti kwa UWANJA sawa!

Ushauri umekaa Kimirembemirembe ila ndy tulipofikia sasa kila zama na yake!!Dunia hadaa ulimwengu shujaa!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
"Mimi ukinishauri ndio umeharibu kabisa maana sitofanya unachonishauri".

John pombe Magufuri.
RAIS ALIYESHINDA KWA KURA ZA MABEGI TZ.
 
Huu Ni ushauri tu usikufunge mtukufu rais na naomba ulitekeleze hili Kama itakupendeza maana katiba yetu ya nchi inakupa mamlaka hayo mtukufu wetu rais

Maana kwa mtazamo wangu naona hakuna haja ya vyama HIVYO wote wawe Wana CCM ili tupambane ndani kwa ndani na wote wakiwa chini yako hakuna wa kufurukuta Wala nini! Mtu km mbatia anakua MWENYEKITI wa CCM WILAYA! Mtu km mbowe MWENYEKITI CCM mkoa na wengine km hao watakusaidia Sana wakiwa CCM kuliko hivi sasa mara wakalalamike kwa mabeberu mara sjui ICC sisi hatujawahi kupigishwa magoti bwana wahuni wanakaa mara sjui tusenti twao mh rais na mwenyekiti warudishie vihela vyao wasitutishe tunakusanya Kodi zetu watatuambia nini sisi watuheshimu utu wetu wasitubagaze Wala kuutweza utu wetu tuchague heshima futa vyama vingi ili kina heche warudi CCM tunyang'anyane nafasi huku huku na hautokua rais wa Kwanza kufuta hata mwalimu alifuta vyama vingi ili tujipe muda wa kujiandaa maana km nchi bado hatupo tayari kuwa na vyama mbadala na kuongoza nchi kwa mfumo wa kupokezana vijiti kwa UWANJA sawa!

AHSANTE

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Thubuutuuuuuuu
 
Naunga mkono hoja, tubadilishe Mwenyekiti wa ccm Wilaya ndo awe mbunge hakuna haja ya uchaguzi.
 
Acha Mbowe apambane na hali Yake, Umesikia CCM haina watu wa kuwa wenyeviti wa wilaya na mikoa Hadi umtafutie kibarua Mbowe?
Hivyo vyama vingi viko wapi, au unasema hayo magenge yasiyo hata na ofisi ndi unaita vyama vingi? Mbowe mwenyekiti wa saccos na huyo mbatia nae sijui Hilo genge lake linaitwaje!
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Siasa ni game kama games nyingine na hakuna game nzuri yenye upande mmoja tu.

Mheshimiwa raisi akichukua maoni yako(kama kweli unamaanisha na sio kejeli),
nchi itaingia kwenye mkwamo kama uliokuwepo enzi za Mwalimu na zaidi.
 
Point ako nimeielewa kwasababu moja vitengo vyoote vya serikali etyu vimelishwa kityu ilmladi viisapoti CCM kubaki madarakani kwasababu mfano jeshi letu loote la nchi limeegemea CCM badala ya kushughulikia Hali ya usalama katka nchi utamkuta polisi or mwanajeshi wanaongelea vyama
CCM kingesimama kama chama cha kiasa ungekuta kimekufa muda mrefu ila ccm kimesimama kama serikali, polisi, jeshi, usalama wa taifa n.k. Sasa nguvu zoote hivi huwez kushindana naz
 
Vyama vya upinzani vitajifuta vyenyewe.
Hapa kazi tu buana.
Vikifa vyama vya siasa vitaibuka vyama visivyo na mazungumzo na vinavyoongozwa na watu wenye itikadi zisizoelezeka.kitakachotokea si kufa vyama vya saisa bali watu kuidharau demokrasia na kuacha kushiriki chaguzi.
 
Back
Top Bottom