Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,500
- 17,557
- Thread starter
-
- #41
Ni gari ya miaka ya 90. Kwa mm sio issue sana. I just want a simple affordable off road vehicle na Rav 4 ni option nzuriGari nzuri sana ila infortaiment yake hasa kwenye dashboard ipo kizamani
Oohhh unapenda manual trans ? Basi sawaakili time iko soft kidogo halafu hamna option ya manual gearbox
Kwa iyo iko na option nzuri ujafikiliia kuhusu xtrail T30 generation ya kwanza ?Ni gari ya miaka ya 90. Kwa mm sio issue sana. I just want a simple affordable off road vehicle na Rav 4 ni option nzuri
Ubora na uimara wa rav 4 huwezi linganisha na Xtrail. Ndio maana Rav 4 let’s say ya mwaka 1997 inauzwa dollar 4000 mpaka 5000 huko japan wakati 1st gen xtrail Inauzwa dollar 1000 mpaka 1500Kwa iyo iko na option nzuri ujafikiliia kuhusu xtrail T30 generation ya kwanza ?
Kwanini mkuu?Rav 4, na Suzuki Escudo za miaka ya 1990s ni roho ya paka. Ila usirudi tena huko zzee, nenda mbele.
Alipokua mdogo alikua akiiona Rav4 imekatiza mtaani labda alikua anasema nikikua lazima ninunue gari kama hii.Si tunaenda mbele we unarudi nyuma.
Hizo gari ndani ni kama umepanda mkokoteni au leyland mkuu. Gari za sasa ziko very soft, full electrical na beautiful ndani. Anyway, inategemea matumizi yake na ulipo.Kwanini mkuu?
I don’t like those type of vehicles with complicated electrical systems, touch screen, android radios etc. I just want a simple vehicle, manual power windows, manual gearbox. Ningekua na kibunda cha kutosha ningechukua LC 76Hizo gari ndani ni kama umepanda mkokoteni au leyland mkuu. Gari za sasa ziko very soft, full electrical na beautiful ndani. Anyway, inategemea matumizi yake na ulipo.
Safi kabisa. Rav 4 hizo za 1990s inakufaa sana kaka.I don’t like those type of vehicles with complicated electrical systems, touch screen, android radios etc. I just want a simple vehicle, manual power windows, manual gearbox. Ningekua na kibunda cha kutosha ningechukua LC 76
Zipo ila chache sana. Halafu bei juu. Uzuri ushuru wake sio mkubwa sanaGari nzuri sana hizi.. hivi zakuagiza bado zipo?
Mwaka ndio huu hapa mkuu, unachukua used from japan au ya hapa Tz?Watu wengi walikua nazo enzi hizo hasa wazee wazamani, na mm kama mkongwe nataka mwakani nichukue kwa ajili ya kwenda shamba.
off-road ipo vizuri sana ni gari nzuri.Hiyo gari haifi mkuu.
Harafu hizi za sasa ambazo tunavimba eti sayansi na teknolojia ndio hovyo kabisa, gari miaka mitano tu imeshachoka balaaSijui sana ila hii ni chuma cha pua, enzi hizo naosha magari kuna mzee mmoja alikua na rav4 yake namba A imeoza body ila injini nzima.
Kilitime manual zipo ila ni chache sana, nyingi ni kwa soko la UK na USkili time iko soft kidogo halafu hamna option ya manual gearbox
Soko la Uk zipo nyingi za diesel 2.0 ila kilitime za 1zz cc1790 petrol za Japan hamna option ya manual gearKilitime manual zipo ila ni chache sana, nyingi ni kwa soko la UK na US