Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,500
- 17,554
Si unajua tena old is gold. Halafu nimejaribu kuzichungulia be forward bei yake imechangamka sio mchezo.Gari ya kitambo sana mkuu. 1995 ata Nyerere yuhai.
Unaagiza au unamvua mtu?Si unajua tena old is gold.
Hiyo gari haifi mkuu.Sijui sana ila hii ni chuma cha pua, enzi hizo naosha magari kuna mzee mmoja alikua na rav4 yake namba A imeoza body ila injini nzima.
Watu wengi walikua nazo enzi hizo hasa wazee wazamani, na mm kama mkongwe nataka mwakani nichukue kwa ajili ya kwenda shamba.Sijui sana ila hii ni chuma cha pua, enzi hizo naosha magari kuna mzee mmoja alikua na rav4 yake namba A imeoza body ila injini nzima.
Nataka niagize Japan. Ila naona siku hizi zimekua adimu halafu bei imechangamka. Ila uzuri ni kwamba kodi yake sio kubwa sana. Sidhani kama inazidil mil 10Unaagiza au unamvua mtu?
Zipo ila bei yake kubwa kuliko baadhi ya 2nd gen.Nataka niagize Japan. Ila naona siku hizi zimekua adimu halafu bei imechangamka. Ila uzuri ni kwamba kodi yake sio kubwa sana. Sidhani kama inazidil mil 10
Exactly. I prefer manual transmission nadhani hata kwenye fuel consumption itakua nzuri kidogo kuliko AutoChuma roho ya paka sana hii, inavumilia sana shida na mikikimikiki ya barabara zetu hizi hapo upate manual unyama sana!.
Manual zimekua adimu sana halafu bei juu kuliko ata AutoEngine 3s gari safi sana ukipata nyingi auto japo manual pia zipo
Roho ya paka...Hii gari imekaaje wataalam wa magari maana mwaka ujao nataka nivute hii chuma. Kati ya Automatic ama Manual gear ipi ina fuel consumption nzuri na pia ipi nzuri kwa masafa hasa sehemu korofi.
Nimeambatanisha na picha
View attachment 3521892View attachment 3521893
Vp safari imo lakini?Roho ya paka...
Noma sanaKuna msemo unasema "alitumia babu mpaka mjukuu anatumia"