Ushauri: Ununuaji wa magari

libaba PM


BE FORWARD NDIO MWISHO WA MATATIZO TANZANIA. RELIABLE, CHEAP AND FAST IN SHIPPING,

visit Japanese Used Cars | BE FORWARD

kama link haikubali copy and paste to browsing bar. OPA CIF FROM $1,700, POB FROM $400
OFISI ZAO ZIPO OCEAN ROAD OPPOSITE NA OCEAN ROAD HOSPITAL DAR ES SALAAM
 
BF160465_6.jpg


Je NISAN TIIDA ni gari ambayo haisumbui spares..
Je inaugonjwa wowote wakudumu ?
Ni nzuri kwa matumizi ya kawaida?
wao wamesema Bei ni FOB US$ 1573/=
CIF US$ 3064/=

JE MPAKA IWE BARABARANI NA KIASI CHA TSH NGAPI ?

Baadhi ya taarifa ni hizi.

Year / Month2004/10
Milleage 97270
Engine size: 1490
Steering Right
Transmission Automatic
Fuel Gasoline/Petrol
Model 15m
 
FOB ya usd 2200 ni kubwa kwa gari iyo. Maana hapo CIF haitashuka usd 3200 na kama ukinunua na insurance au paytrade itaongeza usd 220 ambayo roughly inakuja usd 3400, tt fee usd above 10 sasa inakuja 3500, OPA kwa CIF ya usd 3500 ni kubwa ndugu. Hapo inakuja kama (3500x1610= 5,635,000) TRA wanaweza kukupiga mpaka 3mil sababu ya CIF kubwa so inakuja kama 8,635,000/= hapo bado mplate number, kadi fee, shipping line, insurance, fire, agent fee nk

Roughly andaa kama mil 9,500,000/= apo utakuwa safe. Mimi naagiza mara kwa mara, ukikwama usichoke kuomba ushauri.
 
Kama unataka kuagiza gari kutoka Japan, Chagua gari, negotiate nao, wape details zako wakutumie proforma invoice, Lipa pesa kupitia bank account inayoonekana kwenye proforma invoice, tuma document za bank kwa email, then watapakia gari. After two weeks unapokea documents na unamkabidhi agent kama gari ikifika bandarini.

After assessment atakuambia unatakiwa kulipia sh ngapi TRA na storage. Ukishalipa unapatiwa gari lako baada ya agent kutoka. Kujua gharama lazima ujue gari ina CC ngapi, ni ya mwaka gani, Freight, Inspection na Insurance sh ngapi.
 
Chris ni kampuni gani Uk inayouza gari kubwa truck kwa bei nzuri?

Sasa wewe nawe, tangu lini mmbeba mabox akajua kampuni za magari zilipo huko UK? We muulizie atakulangua ngapi kwenye kupakia mzigo wako kupitia kampuni anayofanyia kazi - SERENGETI what nini vile?
 
FOB ya usd 2200 ni kubwa kwa gari iyo. Maana hapo CIF haitashuka usd 3200 na kama ukinunua na insurance au paytrade itaongeza usd 220 ambayo roughly inakuja usd 3400, tt fee usd above 10 sasa inakuja 3500, OPA kwa CIF ya usd 3500 ni kubwa ndugu. Hapo inakuja kama (3500x1610= 5,635,000) TRA wanaweza kukupiga mpaka 3mil sababu ya cif kubwa so inakuja kama 8,635,000/= hapo bado mplate number, kadi fee, shipping line, insurance, fire, agent fee nk

Roughly andaa kama mil 9,500,000/= apo utakuwa safe. Mimi naagiza mara kwa mara, ukikwama usichoke kuomba ushauri.

Mkuu vipi

Version/ClassEXCEED
Chassis #N84W-0201074
Engine Size2,350cc
Engine Code4G64
Drive2wheel drive
Ext. ColorBlack
SteeringRight
Transmiss.Automatic
FuelGasoline/Petrol
Seats7
Doors5
Dimension
(L×W×H)
4.58×1.77×1.65 m
M313.376

Mkuu mpaka niipate yaweza gharimu bei gan? na spear part za Mitsubishi hazisumbui? na je ukubwa wa hiyo CC itakuwa inakula sana mafuta?
 

Attachments

  • 996782_602254819823797_2044344966_n.jpg
    996782_602254819823797_2044344966_n.jpg
    42 KB · Views: 620
Gsana, Kaka nataka kuagiza toyota sienta, nahitaji ushauri wako! pia ningependa kujua roughly cost za kuitoa bandarini. CIF ni 2000 usd
 
Mwenye idea jamani na estimates za kodi na registration za toyota hiace, 2004 model trh 124b. Cif usd 7200. Naombeni msaada wenu.
 
Wataalam wa Magari Gsana et al naomba ushauri na msaada.
Nataka kuagiza gari aina ya Toyota Passo. Ikiwa FOB quote ni US$ 1500, gari hii ya CC 1000 na YOM 2004 itanigharimu kiasi gani mpaka kuiingiza barabarani Tanzania?

Natanguliza shukrani!

Ref116625
StatusIn-Stock
Year2004
MakeTOYOTA
CarPasso
ModelKGC10
Mileage14,991
Engine Size1,000
FuelPetrol
Body ColorLight Blue
TransmissionAutomatic
Doors5
Seats5
Drive2wheel
SteeringRight

 
Nahitaji kuagiza gari Toyota coaster gharama yake ni $11000 ambayo haijazidi 10 years nahitaji kujua ushuru itakuwa kiasi gani?
 
Boreless,

Mkuu Boreless, naogopa kukushauri kwa kuwa hiyo FOB ni kubwa mno. Hiyo FOB kwa gari ndogo kama hiyo itakugharimu pesa ya kununua gari kubwa, mara nyingi used Passo ya chini ya mwaka 2005 haipaswi kuvuka FOB ya dola 1100 kwa sisi wa kipato cha chini. Alafu mbona Passo nyingi ni FOB dola 700 mpaka 900?

Maybe uanze kwa kueleza supplier yuko nchi gani na mnawasilianaje, nauliza ivi kwa kuwa kama manajuana basi ntakushauri ila kama ni mtandaoni,mkuu sikushauri ununue hiyo maana CIF yake kwa japan mpaka Tanzania itakuja kubwa kama USD 2600 na other costs itakuja kupanda mpaka dola 2700 roughly hiyo ni tsh 4,300,000/= ukiweka kodi itakula mpaka milioni 7 na pointi.

NB: Hizo estimations sio reliable, nimefikiria tu bila kufanya really estimates, hivyo usiziamini ila roughly haizidi
hapo. Mkuu pata quatation nzuri ili na kodi iwe reasonable then tutakushauri vizuri kwa kila cost utakayoiingia.

Zaidi ya hapo waweza kunipm kwa kuwa hii ni ishu yako private,
Nakutakia mafanikio.
 
Boreless,

Weka bajeti ya shilling millioni saba mpaka unakabidhiwa gari yako na chenji inarudi, mimi nimelipia Passo ya mwaka 2005 $2050 tu tena ni jana.
 
Back
Top Bottom