mkuu! thanks kwa info. hivi taasisi gani ambazo zina pata nafuu ya hizi kodi zote?[TABLE="class: results"]
[TR="class: total-tax-row"]
[TD]CIF[/TD]
[TD="class: data-cell"]2,000 USD[/TD]
[TD="class: data-cell"]3,240,700 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: tax-row"]
[TD]Import Duty[/TD]
[TD="class: data-cell"]500 USD[/TD]
[TD="class: data-cell"]810,175 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: tax-row"]
[TD]Dumping Fee[/TD]
[TD="class: data-cell"]500 USD[/TD]
[TD="class: data-cell"]810,175 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: tax-row"]
[TD]Excise Duty[/TD]
[TD="class: data-cell"]150 USD[/TD]
[TD="class: data-cell"]243,053 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: tax-row"]
[TD]VAT[/TD]
[TD="class: data-cell"]567 USD[/TD]
[TD="class: data-cell"]918,738 TZS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="class: data-cell"][/TD]
[TD="class: data-cell"][/TD]
[/TR]
[TR="class: total-tax-row"]
[TD]Total Taxes[/TD]
[TD="class: data-cell"]1,717 USD[/TD]
[TD="class: data-cell"]2,782,141 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: tax-row"]
[TD]Port Charges[/TD]
[TD="class: data-cell"]150 USD[/TD]
[TD="class: data-cell"]243,053 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: tax-row"]
[TD]L/Shipping Line[/TD]
[TD="class: data-cell"]75 USD[/TD]
[TD="class: data-cell"]121,526 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: total-cost-row"]
[TD]Total Cost
[/TD]
[TD="class: data-cell"]3,942 USD[/TD]
[TD="class: data-cell"]6,387,420 TZS[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hiyo ndo estimate cost kama umenunua leo 30/6/2011.Bado Bima na usumbufu wa jamaa wa TRA..
Angalia WWW.AUTOTRADER.CO.UK kuna aina ya kila gari.Ungekuwa huko UK ningekushauri pia utembelee auctionsWana JF,
Kuna ndugu wa karibu ambaye anataka kununua gari lililotumika toka Uingereza na kulipeleka Tanzania. Kaniomba ushauri kuhusu namna ya kufanya au kama ninamfahamu dealer yeyote anayejihusisha na biashara hii. Bahati mbaya sijawahi agiza gari toka Uingereza na sijui dealer yeyote aliyepo Tanzania.
Sijajua kama hivi vitu ni kweli, ila viliniogopesha toka mwanzo. Sasa tupeane ushauri kutokana na uzoefu wa watu walioagiza magari yao Uingereza, na pia kama kuna dealers wowote wanaojihusisha na uuzaji wa magari toka Uingereza (na hata Ulaya kwa jumla) naomba tufahamishane.
Si Uingereza tu, Hili tatizo lipo kila nchi kwa sababu madhumuni ni kuuza gari, wataweka picha za sehemu itakayo kuvutia.Nilishawahi kuambiwa kwamba magari mengi yauzwayo toka Uingereza huwa hayawi na ubora sawa na picha za kwenye mtandao, yaani yanaweza yakawa machakavu zaidi ya yalivyooneshwa.
Inategemea na aina ya gari.Kwa mafano,Scania na Jaguar ni rahisi UK kuliko Japan lakini ukinunua Land Cruiser kutoka UK kuna uwezekano kwa asilimia kubwa utakuwa umeingia choo cha kikena pia ati ni ghali kununua gari Uingereza ukilinganisha na kununua Japan.
Yeah, nina vijana Milton Keynes na London.Una mtu unayemwamini UK? Kama yupo chagua gari kwenye mtandao wa autotraders UK ila uwe na tumia post code ya UK ya huyo mtu, then mtume huyo mtu akalikague kabla hujatum, a pesa, kuna makampuni ya wa Tanzania UK wanasafirisha magari na vifaa vingine
Angalia WWW.AUTOTRADER.CO.UK kuna aina ya kila gari. Ungekuwa huko UK ningekushauri pia utembelee auctions
Si Uingereza tu, Hili tatizo lipo kila nchi kwa sababu madhumuni ni kuuza gari, wataweka picha za sehemu itakayo kuvutia.
However Mwaka wa gari, mileage, picha na wengine wanaweka maelezo gari ilikuwa inatumika kwenye mazingira ya aina gani vita kusaidia kukupa hali halisi ya gari
Inategemea na aina ya gari. Kwa mfano, Scania na Jaguary ni rahisi UK kuliko Japan lakini ukinunua Land Cruiser kutoka UK kuna uwezekano kwa asilimia kubwa utakuwa umeingia choo cha kike
Naomba kuuliza wadau, kama gari zinazouzwa yard, Dar zipo za kuaminika. Napata shida sana nikiwaza kuagiza gari (used) toka Japan au kwingineko kwa kuwa mda wa kusubiria ni mrefu sana. Naomba kama kuna mtu ana info ya mahali Dar, naweza kupata gari za kuaminika na bei reasonable.
Nami naomba niulize hapo hapo. Je ukinunua pale yard kuna faida nyingine zaidi ya kusave time, kutokuibiwa baadhi ya vifaa nk? Mfano vipi bei, kulinganisha na kuagiza moja kwa moja? Kuna tofauti kubwa sana?
Mkuu siku hizi bondage warehouse ni nyingi sana yani gari ikifika tu unapigiwa simu siku hiyo ukaichukue . Manji anakula sana shavu hilo. Juzi tu nimeagizia gari imefika Dar imekaa wiki mbili kwenye foleni ya kushusha but siku ilyoshushwa the same day nilipigiwa simu. Nikawa nimepewa 3 days za kutoa na vinginevyo wataanza kucharge warehousing fee. Niliitoa siku hiyo hiyo pale Chang'ombe mkuu.
Mkuu siku hizi bondage warehouse ni nyingi sana yani gari ikifika tu unapigiwa simu siku hiyo ukaichukue . Manji anakula sana shavu hilo. Juzi tu nimeagizia gari imefika Dar imekaa wiki mbili kwenye foleni ya kushusha but siku ilyoshushwa the same day nilipigiwa simu. Nikawa nimepewa 3 days za kutoa na vinginevyo wataanza kucharge warehousing fee. Niliitoa siku hiyo hiyo pale Chang'ombe mkuu.