Asikubali kuacha kazi ili apate nafasi ya kucheat. Haiwezekani kuishi bila mgegedo ukiwa mzima wa afya na viungo vinafanya kazi vizuri.
Anachotakiwa ni kumjali huyo muathirika, kumpenda na kuendelea kuwa mama bora wa familia.
Mambo yake afanye kwa siri sana bila wetuwa karibu kujua. Kwani mbona wanawake wengi tunacheat bila kujulikana?? Kama baba ana kisukari, au mapresha au full busy mbona tunajihudumia nje na life inaendelea? Sembuse hiyo??