Ushauri unapokuwa ugenini

haloo

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
569
217
Habari wanajamvi
Jamani naombeni ushauri ,nilipokuwa ugenini kila muda wa kula ukifika anaotokea paka wa mwenyeji wangu ananisumbua sana kwenye chakula.je naombeni ushauri huyu paka nimmegee chakula au nimfukuze pale kwenye meza?
 
Hahaaha!!
Hujui tabia ya paka Mkuu???

Paka tabia Yale kubwa ni Kujikomba kwa mtu amwaminiye, akijipitisha pitisha huku mkia wake ukikuchezea miguuni ni kukuhadaa then atatoa kamlio kakukulaghai ili umwonee huruma na kumpa fadhila ya chakula kwa kazi aliyoifanya.

Cha msingi hapo ukiwa nae muda mwingine ambao si wa chakula uwe unampiga au kumtolea maneno makali ya kufoka Kama tokaaaaa!!
Hatajikomba komba tena muda wa Maakuli.

Pole sana Mkuu
 
Katumwa huyo na wenyeji wako ili wakujue undani yako pale unapobaki na watoto wao, na siyo kujifanya unawapenda ukiwa nao pamoja wakitoka ni full mashuti
 
Sasa kama unatumia sahan yake ya chakula ataacha kukusumbua kwel?
 
Habari wanajamvi
Jamani naombeni ushauri ,nilipokuwa ugenini kila muda wa kula ukifika anaotokea paka wa mwenyeji wangu ananisumbua sana kwenye chakula.je naombeni ushauri huyu paka nimmegee chakula au nimfukuze pale kwenye meza?
Kama nchi za Ulaya huyo sawa na mtoto wao. Ikiwa Africa mpe nae atafune

Ndukiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom