Habari zenu ndugu wapendwa wana MMU wote,
Kwa heshima na taadhima naomba kuwashirikisha mambo yangu wawili yanayohusiana na mahusiano kwa ushauri zaidi na majadiliano,
Case no 1..
Kuna kijana anadai ananipenda lakn nimemkatalia kwa sababu haiwezekani kuwa nae (we are not compatible at all at all)..Age much older than him na mambo mengine.Lakini reaction yake ni kuwa yeye kama akifa saa yoyote basi mimi ndio chanzo na kama wakipeleleza watajua mimi ndio chanzo..Nilikuwa nachukulia utani lakn sasa naona huu wimbo wa kufa unazidi..sijaelewa kama anatania tu au yupo serious lakn ninavyomuona akili zake dakika mbili mbele...Asije akafanya kweli afu nikawa sababu... Nishaurini ni handle vipi hii issue.
Case no 2.
Kuna babu mtu mzima above 60 ananing'ang'ania niwe kwenye familia yake kama mke/mkwe.. Ilianza wakati naanza kazi na nikamkuta hapo ofisini.Alikuwa anaonyesha dalili za ku care lakn sikumpa nafasi ya kuropoka... Baadae sijui alikata tamaa au vipi akaoa yani akafunga ndoa na mke aliyekuwa anaishi nae.Baada ya hilo akaja baba mwingine wa hapo ofisini na kunieleza jinsi huyo babu alivyokuwa anajigamba kuwa ni lazima anioe na alinifanyia hata dawa(kwa mganga) iliyoshindikana anyway.Nilimuita na kumuuliza habari hizo mbele ya mleta habari na hakukana/alikubali..Juzi kati kaibuka tena akidai kuwa ni mpango wa Mungu niwe naye...Ndipo nilimuuliza kama ana mpango mke wake afe ndio anioe(ndoa ni mpaka kifo kitenganishe).Alishtuka kwa maneno hayo na akageuza kibao na kusema kuwa kama yeye imeshindikana basi ni LAZIMA mtoto wake anioe.Akaongeza kuwa nitake nisitake lazima niingie kwenye familia yake..Sijamuelewa huyu mzee ana nini na mimi? na anaringia nini.Ninavyomuona ni kama hatanii na anachoongea. Naombeni ushauri na maombi ikiwezekana ili aniwache nipumue...
With reference from case no 1; Kiukweli msikilize vizuri huyo mtu dada, kama kweli ana nia ya dhati na kama upo single, basi mpe nafasi, kupenda kunauma wazee. Jiulize, kwa nini ang'ang'anie kwakwo tu? Lazima kuna kitu kaona kwako na hajaona kwa wengine. Na bahati mbaya kama hayo aliyokwambia yakimkuta, na hata kama itokee kwa sababu nyengine tofauti, hivi itakuaje......
utaishi kwa mawazo wewee.......Yani ungejua maumivu wanaume tunayopata kwa kumpenda msicha kwa thati halafu anazingua.......kwa kuwa nafahamu maumivu ya haya mambo, mimi naomba kumtetea huyu kijana mwenzangu huyu.........please accept his request.....ila msikilize kwanza.
PLEASE THINK AGAIN AND GET LISTENING TO THESE FEW WORDS BY MARK ANTHONY (I Need you, with lyrics)
From the day that I met you girl
I knew that your love would be
Everything that I ever wanted in my life
From the moment you spoke my name
I new everything had changed
Because of you I felt my life would be complete
[refrain]
Oh baby I need you
For the rest of my life girl I need you
To make everything right girl
I love you
And I'll never deny that I need you
Nothing matters but you my love
And only God above
Could be the one to know exactly how I feel
I could die in your arms right now
Knowing that you somehow
Would take my soul and keep it deep inside your heart
[repeat refrain]
Girl your love to me feels just like magic
When you smile you have total control
You have power like nothing Ive felt before
Ive let all of my feelings show
Cuz I want you to know that.. I need you
I need you, for the rest of my life girl
I need you, say that you'll be my wife oh
I love you, wont you marry me marry me
Oh I need you (nobody but you)
Oooh I need you, for the rest of my life
Oh I need you (nobody but you)
Wont you marry me marry me
I love you, I really need ya baby (I really need nobody but you)
I need you
Girl I really need need you girl I really need you need you (I need you)
Oohhh baby I love you (I love you)
I need you, girl I really need ya need ya oh baby
Wont you marry me (I need you)
Wont you marry me marry me
I love you.. oohh ..
I need you. (I really need nobody but you)