Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,236
Habari zenu ndugu wapendwa wana MMU wote,
Kwa heshima na taadhima naomba kuwashirikisha mambo yangu wawili yanayohusiana na mahusiano kwa ushauri zaidi na majadiliano,
Case no 1..
Kuna kijana anadai ananipenda lakn nimemkatalia kwa sababu haiwezekani kuwa nae (we are not compatible at all at all)..Age much older than him na mambo mengine.Lakini reaction yake ni kuwa yeye kama akifa saa yoyote basi mimi ndio chanzo na kama wakipeleleza watajua mimi ndio chanzo..Nilikuwa nachukulia utani lakn sasa naona huu wimbo wa kufa unazidi..sijaelewa kama anatania tu au yupo serious lakn ninavyomuona akili zake dakika mbili mbele...Asije akafanya kweli afu nikawa sababu... Nishaurini ni handle vipi hii issue.
Case no 2.
Kuna babu mtu mzima above 60 ananing'ang'ania niwe kwenye familia yake kama mke/mkwe.. Ilianza wakati naanza kazi na nikamkuta hapo ofisini.Alikuwa anaonyesha dalili za ku care lakn sikumpa nafasi ya kuropoka... Baadae sijui alikata tamaa au vipi akaoa yani akafunga ndoa na mke aliyekuwa anaishi nae.Baada ya hilo akaja baba mwingine wa hapo ofisini na kunieleza jinsi huyo babu alivyokuwa anajigamba kuwa ni lazima anioe na alinifanyia hata dawa(kwa mganga) iliyoshindikana anyway.Nilimuita na kumuuliza habari hizo mbele ya mleta habari na hakukana/alikubali..Juzi kati kaibuka tena akidai kuwa ni mpango wa Mungu niwe naye...Ndipo nilimuuliza kama ana mpango mke wake afe ndio anioe(ndoa ni mpaka kifo kitenganishe).Alishtuka kwa maneno hayo na akageuza kibao na kusema kuwa kama yeye imeshindikana basi ni LAZIMA mtoto wake anioe.Akaongeza kuwa nitake nisitake lazima niingie kwenye familia yake..Sijamuelewa huyu mzee ana nini na mimi? na anaringia nini.Ninavyomuona ni kama hatanii na anachoongea. Naombeni ushauri na maombi ikiwezekana ili aniwache nipumue...

Hahaaaaaaaa! Muonee huruma Kijana mwenzio ati! Dying for some one is the highest form of showing your love for that someone!!!!!!
Babu nae mbona anitishaaaa! Ndumba tenaaaa! Mhhhhhhh! Balaaaaa hilo!
Msimamo wangu Mfikirie Kijana Mwenzio, Yawezekana umemkolea hadi haoni meaning of life without you!!!!!!
Naomba wimbo wa Malaika wa Miriam Makeba ukubruishe usiku wa leo!!!!!!!!
Habari zenu ndugu wapendwa wana MMU wote,
Kwa heshima na taadhima naomba kuwashirikisha mambo yangu wawili yanayohusiana na mahusiano kwa ushauri zaidi na majadiliano,
Case no 1..
Kuna kijana anadai ananipenda lakn nimemkatalia kwa sababu haiwezekani kuwa nae (we are not compatible at all at all)..Age much older than him na mambo mengine.Lakini reaction yake ni kuwa yeye kama akifa saa yoyote basi mimi ndio chanzo na kama wakipeleleza watajua mimi ndio chanzo..Nilikuwa nachukulia utani lakn sasa naona huu wimbo wa kufa unazidi..sijaelewa kama anatania tu au yupo serious lakn ninavyomuona akili zake dakika mbili mbele...Asije akafanya kweli afu nikawa sababu... Nishaurini ni handle vipi hii issue.
Case no 2.
Kuna babu mtu mzima above 60 ananing'ang'ania niwe kwenye familia yake kama mke/mkwe.. Ilianza wakati naanza kazi na nikamkuta hapo ofisini.Alikuwa anaonyesha dalili za ku care lakn sikumpa nafasi ya kuropoka... Baadae sijui alikata tamaa au vipi akaoa yani akafunga ndoa na mke aliyekuwa anaishi nae.Baada ya hilo akaja baba mwingine wa hapo ofisini na kunieleza jinsi huyo babu alivyokuwa anajigamba kuwa ni lazima anioe na alinifanyia hata dawa(kwa mganga) iliyoshindikana anyway.Nilimuita na kumuuliza habari hizo mbele ya mleta habari na hakukana/alikubali..Juzi kati kaibuka tena akidai kuwa ni mpango wa Mungu niwe naye...Ndipo nilimuuliza kama ana mpango mke wake afe ndio anioe(ndoa ni mpaka kifo kitenganishe).Alishtuka kwa maneno hayo na akageuza kibao na kusema kuwa kama yeye imeshindikana basi ni LAZIMA mtoto wake anioe.Akaongeza kuwa nitake nisitake lazima niingie kwenye familia yake..Sijamuelewa huyu mzee ana nini na mimi? na anaringia nini.Ninavyomuona ni kama hatanii na anachoongea. Naombeni ushauri na maombi ikiwezekana ili aniwache nipumue...
nimekupenda bure bila hata senti tano!unaonekana unatumia muda wako na akiliyako kuruhusu kungalia wengine wapo serious kiasi gani na wanayo yafanya au kuyatamka kwako kuliko wewe kuonyesha umakini wa yale unayowaonyesha wengine kuwa either unataka/unapenda au unafanya. hizo cases zote zase 1 &2 zinaonyeelezea haiba (personality ) yako. nakushauri kuwa uwe tu makini na jifunze kuto kuruhusu vitu usivyo na maslahi navyo kutawala akili yako. kwa mfano unajua kijana wa case 1 hajai kwenye kiganja chako, ulipaswa kumwambia mapema hii kituhaiwezekani , sasa akitoa maelezo ya kuwa akijiua wewe ndo unajua ni wewe kupuuza na si kijibu na kuendelea kueleza yale ulikwesha eleza... kwani wewe hujawai fiwa ktk maisha yako? anakutishaje kijana moja ambae hukuzaliwa nae eti akifa wewe unajua?
case 2.. huyu mtu amesha thubutu hata kusema ametumia madawa. bado wewe unamwita kikao kumuuuliza juu ya uliyoambiwa, maslahi yako ilikuwa ni niini? kama lishindikana yeye kutumia madawa manake ni kheri kwako. kitendo cha kujali maneno hayo ukafikia hata kumwita na kumuuliza mwenzio ndo anaona unakaribia kukubali. ulitakiwa kupuuza na hata usipoteze muda na hicho kibabu
ushauri wangu ni huu, kuna wengi unaofanana nao....ni bora wewe kumweleza mwanaume ambae unaona unampenda kuwa unampenda ili akikataa ujue tu kakataa kuliko kuzidi kuwapa nafasi watu ambao unajua hawafanani kuendelea kukaba afasi kwenye akili yako. kifunze wewe kusema unachotaka na si kusikiliza zaidi wengine wanataka nini, aidha sioni kwanini uruhusu akili kuendelea kusikiliza mtu ambae umesha mpa msimamo wako , eti yeye anatishia kujiua. huenda nawe ushawai kupenda... uliwai tishia kujiua pale ulipoona hukubaliki? . usiruhusu watu kukuhamishia matatizo yao bila ya wao kutambua matatizo yako. mimi niliwai mweleza mmoja kuwa nikiona hiyo ujumbe wa kusema atajilipua nitamripoti polisi... alikaa kimya na ninauhakika huko aliko sasa anamaisha mazuri tu hata kuliko angekaa na kimeo mimi
kwanza huyu hivi hana case ya kufile kweli?Huyo kijana kukwambia akifa we ni sababu wala hisiwe sababu ya wewe kumkubalia kwani unaweza ukawa usanii kama usanii mwingine! Hebu jaribu kumpima kama ana kufaa na ana upendo wa kweli!
Hapo kwenye umri siwezi kuongelea kwani inaweza isiwe tatizo kama mnapendana kwa dhati!
Hiyo case ya2 inaonekana huyo mzee ana tegemea madawa(ushirikina) wala usisumbike nae we endelea kuomba hata akienda kukufanyia atagonga mwamba!
Habari zenu ndugu wapendwa wana MMU wote,
Kwa heshima na taadhima naomba kuwashirikisha mambo yangu wawili yanayohusiana na mahusiano kwa ushauri zaidi na majadiliano,
Case no 1..
Kuna kijana anadai ananipenda lakn nimemkatalia kwa sababu haiwezekani kuwa nae (we are not compatible at all at all)..Age much older than him na mambo mengine.Lakini reaction yake ni kuwa yeye kama akifa saa yoyote basi mimi ndio chanzo na kama wakipeleleza watajua mimi ndio chanzo..Nilikuwa nachukulia utani lakn sasa naona huu wimbo wa kufa unazidi..sijaelewa kama anatania tu au yupo serious lakn ninavyomuona akili zake dakika mbili mbele...Asije akafanya kweli afu nikawa sababu... Nishaurini ni handle vipi hii issue.
Case no 2.
Kuna babu mtu mzima above 60 ananing'ang'ania niwe kwenye familia yake kama mke/mkwe.. Ilianza wakati naanza kazi na nikamkuta hapo ofisini.Alikuwa anaonyesha dalili za ku care lakn sikumpa nafasi ya kuropoka... Baadae sijui alikata tamaa au vipi akaoa yani akafunga ndoa na mke aliyekuwa anaishi nae.Baada ya hilo akaja baba mwingine wa hapo ofisini na kunieleza jinsi huyo babu alivyokuwa anajigamba kuwa ni lazima anioe na alinifanyia hata dawa(kwa mganga) iliyoshindikana anyway.Nilimuita na kumuuliza habari hizo mbele ya mleta habari na hakukana/alikubali..Juzi kati kaibuka tena akidai kuwa ni mpango wa Mungu niwe naye...Ndipo nilimuuliza kama ana mpango mke wake afe ndio anioe(ndoa ni mpaka kifo kitenganishe).Alishtuka kwa maneno hayo na akageuza kibao na kusema kuwa kama yeye imeshindikana basi ni LAZIMA mtoto wake anioe.Akaongeza kuwa nitake nisitake lazima niingie kwenye familia yake..Sijamuelewa huyu mzee ana nini na mimi? na anaringia nini.Ninavyomuona ni kama hatanii na anachoongea. Naombeni ushauri na maombi ikiwezekana ili aniwache nipumue...
kha!!! wee kweli mzuri...vijana wanakutaka na wazee wanakutaka....ila huyo wa ndumba kweli noma.