ushauri unahitajika

ushauri unahitajika

Duuh noma sana..Nimekumbuka Breaking Bad..!! Akubali kula pesaa ila mumewe akidakwa ndo bhasi tena na yeye haponi
 
#drake tamaa kivipi mtu ameolewa hakujua amegundua tayari mke wa mtu?
 
#rikiboy ye anaxema kumxalia mmmewe mtoto mwengine hapana anahofu kuachiwa mzigo wa kulea watoto na mumewe kamwambiya ikipita mwaka hajaona mimba watashindwana
 
cha msingi sana ni kuachana for future safety
 
#rosicky na familia ya mwanaume haijui kama mtoto wao anafanya hizo mbishe
 
#sk2016 anasema ana hofu rafiki mkubwa wa mumewe yuko ndani kwa hii biashara hivo anahofia kuzaa naye majukum ya watoto yakamuangukia
Kweli kabisa. Huo ndiyo ukweli haswaaa.

Asipokuwa makini yatamkuta hata yeye kufungwa.
Hebu imagine kama siku police wakija kukagua then wakakuta hata mzigo kidogo ndani! Itajulikana wote ni wafanyabiashara ya unga.
 
Pia tatizo la kumshirikisha mume wake. Anaweza kumuua baada ya kujua hili tatizo. Atahofia taarifa kuzagaa! Hivyo, kama ana uhakika bora asepe tu. Atakapomfuata home ndipo amweleze hayo.
Kuwa na misingi isiyokubalika katika dini ni miongoni mwa sababu zinazokubalika kwa mwanamke wa kiislam kutoa katika ndoa.

Mimi nahisi akae chini na mumewe na amueleze wazi kwamba amemjua ni muuza unga, hivyo aache hiyo biashara. Asaaa kheri mume anaweza akamuelewa wakaendelea na maisha mengine.

Ikiwa mume atakataa, namshauri ajiondoe kwenye hiyo ndoa haraka sana. Litakapokuja kubumburuka basi jamaa na mkewe na mtoto wao wataingia kwenye balaa kubwa sana.

Na wewe pia mtoa mada ndugu yangu nyakati zimebadilika. Angalia namna ya kuachana na hii ID maana wakikutafuta uisaidie jamhuri kuwaonyesha hugo rafiki ili wampate mumewe basi na wewe washakupotezea muda wako.
 
#rikiboy mshkaji acha tu ila huyu dada anajifanya kama hayajui hapa napokuambia mume jumatatu ana safari ya kwenda tng kuchukua mzigo mwengine akamhadaa mkewe aende akashinde kwa mama mkwe wake hiyo jumatatu ili akachukue mzigo mke kashtukia kamuambia mume ataenda kesho sio jumatatu tena
 
#ssk2016 jamaa hapigi hizi mishe kwake hata polisi wakija kusachi hawatakuta cha maana mzigo unapigwa sehem hatujajua ni wapi kuhusu kumuua hawezi kumuua
 
Back
Top Bottom