Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 43,325
- 233,279
Habarini wanajamvi,
Hivi hii imekaaje, nina mdogo wangu wa kike ambaye ana mpenzi wake ambaye mahusiano yao mpk sasa yana muda wa miaka 2.
Siku za karibuni mdogo wangu aliifuma account facebook ya mdada ambayo ikirusha picha za mwanaume wake akiweka caption kwamba yule mwanaume ni mpenzi wake.
Baada ya kuongea na mpenzi wake mwanaume alikubali kwamba yule alikuwa mtu wake, lakini kwa sasa wameachana lakini mwanamke anaendelea kumng'ang'ania kwa kuendelea kupost picha zake na yeye hajui kinachoendelea kwa kuwa amemblock kote.
Nakumwambia aache kumfatilia huyo dada amuache apost hizo picha zake akichoka ataacha mwenyewe.
Kwakweli mdogo wangu kafa kaoza kwa huyu jamaa. Hapa kuna mapenzi au mdogo wangu anaibiwa tu.