Ushauri unahitajika, mambo yamenifika shingoni

pole mkuu .. kama unaona anaweza rekebishika msamehe ila mmh me sipendi ujinga kwenye pesa aisee
 
Aisee!

Uandishi gani sasa huo?

Hakuna koma, hakuna nukta, haijulikani sentensi imeanzia wapi na imeishia wapi....

Tuna majanga mengi mno nchi hii!
haina nukuta lakini inasomeka we nyani vipi au unahasira zako nawewe
 
🙄🙄 Huu uandishi ni wa Aina yake. Yaana nmeona alama ya Mkato moja Tuu.
 
Aisee!

Uandishi gani sasa huo?

Hakuna koma, hakuna nukta, haijulikani sentensi imeanzia wapi na imeishia wapi....

Tuna majanga mengi mno nchi hii!
Mbona amejieleza kuwa yeye ni mambo [emoji1]
 
Pole kwa majanga... Yakikushinda zaidi mrudishe kwao akajipange upya
 
Aisee!

Uandishi gani sasa huo?

Hakuna koma, hakuna nukta, haijulikani sentensi imeanzia wapi na imeishia wapi....

Tuna majanga mengi mno nchi hii!

Mkuu Nyani Ngabu punguza munkari mkuu wa kazi, nimeona for the past two weeks humu jf mabandiko yako yanaashiria hauko sawa mkuu, kwa sisi marafiki zako tunao kujua humu JF tunajua tu haupo sawa punguza munkari.
 
Mlipopeana hizo pesa ulikuja humu kutaka ushauri?
 
Aiseeee..! Huyo mwanamke hakufai na kwa maelezo yako inaonyesha yy ndie mwenye sauti.
2M kala bado kaenda kuchukua na mkopo haitoshi kauza na thamani za ndani ww upo upo tu. .! Pole sana ila mzizi wa matatizo ni ww mwenyewe.
 
Kweli tunatofautiana! Na muda wa kuingia humu umeupata.....hii kwangu ilikuwa kesi tayari,nashukuru mungu sio mimi.
 
Binafsi nakushauri usithubutu kumwacha, jaribu kuwashirikisha ndugu Wa pande zote mbili niimani yangu mambo yatakaa saw a. Kikubwa usiache kupiga magoti kwa BWANA kuomba awape kibali cha amani na furaha katika ndoa yenu,Mungu ni mwema na mwaminifu hatokuacha katika hili lengo la shetani ni kuona ndoa yenu imevunjika . Kwa imani ya kikristo uwezi kumuacha mke kwa sababu yoyote ile isipokuwa kwa habari ya uasherati ( math 19:7-9). Ubarikiwe
Hakika mke mwema hutoka kwa bwana
Jipange upya huku ukiweka mipaka ya matumizi

MPE talaka
 
Mrudishe kwao kwa amani kabisa mkuu afu maisha yasonge
 
Duuuuh mwanamke sio mtu wa kumuamini kabsa katika maisha yako ww duuu
 
Pole.

Ila ulijua mkeo mfujaji (ndio udhaifu wake kwa nini ulimpa?????)

Maji yamekwisha mwagika.

Kikubwa hapa ni kupamban kiume.

Mkeo sio wa kumpa hela hata ya bajeti (kama maelezonyako ni yanukweli).

Wewe ni mlinzi.
Unaporudi asubuhi ukishapumzika tafuta kitu kingine cha kukuingizia pesa.

Unapoishi.kama.mazingira yanaruhusu mkeo afunge ubuyu mpike chapati uzeni mkaa nk (chini ya usimamizi wako wa hali ya juu katika pesa)

Jitahidi pia chakula mnunue kingi hata kama uwezo mdogo. Rejareja inaumiza.

Mnappishi kama mna kijieneo pandeni nyanya mahindi mbogamboga kwa ajili ya chakula na kuuza iki lpate senti...tena uzuri hamlipi kodi ya nyumba nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…