Si kweli kuwa huyo jamaa hampendi mpenzi wake. Jambo hilo lilishanitokea hata mimi. Hiyo ni kutokana na aina ya mwanamke juu ya kile unachotaka kwenda kufanyaMwambie amove on tu hapo na akirudi atoe sababu za mashiko na mwambie kama anawafaham rafiki zake amchunguze kwa undani sana. Huyo ni aina ya wanaume wabinafsi kwa maana hakuna anaekupenda akashindwa kukushirikisha katika shida. What if akaleta vijisababu bla bla bla. Sijui wanawake hamtujuagi wanaume kwa undani kila tukiwaumiza hamkomi. Naongea kama mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezeka kuna ishu anafanya ambayo hataki huyu best yangu aijue sio....Maan mchizi anakiri anampenda sana na anatumah atamuacha katika kipindi hiki alichonacho...Mtihani mkubwa sana...ngoja tuangalie huo muda ukifika kitakachojiriSi kweli kuwa huyo jamaa hampendi mpenzi wake. Jambo hilo lilishanitokea hata mimi. Hiyo ni kutokana na aina ya mwanamke juu ya kile unachotaka kwenda kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mimi aiseeh ni Shoga yangu ambae nina ukaribu nae sanaaapole sana dada Tonyblair kwa yaliyokukuta.uvute subira ila na wewe jitafakari sana labda chenga chenga zako zimemfanya akutakari kwa upya.sometimes labda ni smooth exit.huwezi kata mawasiliano na umpendaye for a month.labda jamaa tayaru ameamua kubaki na familia yake