Ushauri unahitajika kwa mdogo wangu

Wala sijalewa...nimeelewa kama ulivyoandika kuwa unanyonya maziwa ya bebii..

haya bana, nikutakie asubuhi njema!

ngoja nimalizie wajibu asubuhi asubuhi nichomoke kwenda mzigoni!
 
Kwani huyo x wako alikuambia kwa nini walitengana? Unaweza pia kumshauri dada yako asije angamia.
Yeye mwenyewe ameachana na huyo mwanamke na hajatuambia sababu za kuachana kwao sasa hapo tutajua nan hajatulia mwanamke au mwanaume ambaye ni shemeji yake?
 
Mna bahati nyie lol braza kala wife,sister analiwa na husband.........kiufupi dada'ko hatafunga ndoa ya kikristo labda aende bomani
 
duh huu ni mtihani! ila kwanza kuangalia km huyo jamaa ni kweli yupo huru kuoa au laa..na km ni ndoa ya kikristo basi hapo haitawezekana itakuwa ni kulazimisha na kuvunja sharia za imani hiyo. pia kikubwa kingine ni kujua ni kipi hasa kilisababisha jamaa akaachana na mkewe...tatizo lilikuwa wapi?au nani alisababisha nk...ili kujiridhisha na hali ya uhusiano ambao dada anataka kuingia...
 

Sababu ya kuachana unaijua?
 
Mwambie aangalie future ya huyo jamaa,na sababu iliyopelekea kumuacha huyo mpnz wako,km ni ya msing,kisha yeye atafakari km anampenda kwa dhati hyo mdgo wako then jib litapatikana tu.
 
Mna bahati nyie lol braza kala wife,sister analiwa na husband.........kiufupi dada'ko hatafunga ndoa ya kikristo labda aende bomani

Acha kuleta mambo ya family law mpenzi, MMU ACT inaruhusu wakristo kufunga ndoa zaidi ya mbili.... mzima bebito????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…