Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,355
- 108,480
Best nakukubali sana, hapa umenena,hakuna ndoa hapo!
Ukweli huweka huru nafsi zetu...
Mzima weye?
Best nakukubali sana, hapa umenena,hakuna ndoa hapo!
Ni kweli kabisa, japo ukweli una umiza lakini unatuweka huru,Ukweli huweka huru nafsi zetu...
Mzima weye?
Wala sijalewa...nimeelewa kama ulivyoandika kuwa unanyonya maziwa ya bebii..
Yeye mwenyewe ameachana na huyo mwanamke na hajatuambia sababu za kuachana kwao sasa hapo tutajua nan hajatulia mwanamke au mwanaume ambaye ni shemeji yake?Kwani huyo x wako alikuambia kwa nini walitengana? Unaweza pia kumshauri dada yako asije angamia.
Habarini wakuu.
Naombeni msaada katika hili.Nilikutana na mdada Mmoja hapa dar akanielezea kwamba aliolewa na akabahatika kuzaa mtoto Mmoja ila aliachana na mme wake kwa taraka ya ndoa mahakamani.nikawa nae miezi nane kwenye uhusiano then tukaachana.
Now imepita miezi minne toka tuachane.
Nina mdogo wangu ambaye amepata kazi kwenye taasisi moja ambayo yule mume walie achana na mpenz wangu wa zamani anafanya kazi ila wako mikoa tofauti na mdogo wangu.now yule jamaaaa anataka kumuoa mdogo wangu kwa ndoa.
So, dogo naye kajua hii situation yote haelewi afanye nn? Msaada wakuu kimawazo.
Mna bahati nyie lol braza kala wife,sister analiwa na husband.........kiufupi dada'ko hatafunga ndoa ya kikristo labda aende bomani