Habarini wakuu.
Naombeni msaada katika hili.Nilikutana na mdada Mmoja hapa dar akanielezea kwamba aliolewa na akabahatika kuzaa mtoto Mmoja ila aliachana na mme wake kwa taraka ya ndoa mahakamani.nikawa nae miezi nane kwenye uhusiano then tukaachana.
Now imepita miezi minne toka tuachane.
Nina mdogo wangu ambaye amepata kazi kwenye taasisi moja ambayo yule mume walie achana na mpenz wangu wa zamani anafanya kazi ila wako mikoa tofauti na mdogo wangu.now yule jamaaaa anataka kumuoa mdogo wangu kwa ndoa.
So, dogo naye kajua hii situation yote haelewi afanye nn? Msaada wakuu kimawazo.
mimi mwenyewe sielewi hapa ulichoandika..!
wacha niendelee kunyonya bana!!.. ndo raha yangu!
mmmmmhhhhhhh! bongo bana job true true..

Unanyonya nini atiii
nanyonya maziwa kwa bebiii!!
Kama familia yenu ni ya Kikristo, basi mwambie mdogo wako asiolewe na huyo bwana maana mbele ya Mungu huyo mwanaume anahesabika yupo ndoani.