Nasota kurudi serikalini mpaka dk hii mambo ni Moto nimeenda utumishi wananiambia nikawe balozi kwa vijana niwambie wasiache kazi serikalini bila kufuata utaratibu ndiyo ujumbe niliopewa. Namshauri abaki kufundisha huku anatafuta connection ya kuhamia tanesco kwa kutumia taratibu za kuhama kutoka taasisi nyingine ndani ya serikali.
Aende tu ualimu maana tunakoelekea hao watu wa Helsb watakua kama maji huwezi kuwakwepa huataki kajiajiri napo utapatwa tu so angalie penye fyucha,anyaway pia ajue huko kwenye ualimu kuna pensheni so achanganye za kuambiwa na zake,atachagua maisha yake maana kila mtu na staili yake ya kutafuta ugali
Kibarua na ajira vitu viwili tofauti..
Viko vitu vingi vya kuangalia kama uwezekano wa kupanda mshahara,vyeo nk kibarua atabaki kibarua tu haji geuka kuwa meneja tawi la Tanesco!!! pia kuna suala la ulemavu akiparamia nguzo akadondoka nayo miguu yote ikabomoka ndio mwisho wa kibarua TANESCO!!!Sorry point of correction
Ajira za mikataba ni tofauti kidogo na STE...
Viko vitu vingi vya kuangalia kama uwezekano wa kupanda mshahara,vyeo nk kibarua atabaki kibarua tu haji geuka kuwa meneja tawi la Tanesco!!! pia kuna suala la ulemavu akipoaramia nguzo akadondoka nayo miguu yote ikabomoka ndio mwisho wa kibarua TANESCO!!!
najua watu kadhaa walioanza na mkataba Tanesco na wote wakapata permanentTemporary mkataba wa mwaka then ana renew sasa ivi ni mkataba wa 2 Now!