Computer4Sale Macbook Pro Core i5 1.2Mil

Kafiti

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
537
220
Inauzwa Macbook Pro Os 10 Version 10.8.5
Processor 2.53 Ghz Intel Core i5
Memory 4GB 1067 MHz DDR3
Hdd 500Gb
Used

Haina battery. Charger ipo na inafanya kazi vizuri. Ukihitaji na battery tunaweza kununua tukifanya biashara.

Bei 1.2Mil
Dar es Salaam
0684-141476
 

Attachments

  • mac7.jpeg
    mac7.jpeg
    52 KB · Views: 54
  • mac5.jpeg
    mac5.jpeg
    25 KB · Views: 46
  • mac4.jpeg
    mac4.jpeg
    48.9 KB · Views: 49
  • mac3.jpeg
    mac3.jpeg
    26.3 KB · Views: 51
  • mac2.jpeg
    mac2.jpeg
    72.4 KB · Views: 49
  • mac1.jpeg
    mac1.jpeg
    84.2 KB · Views: 53
kwa nini nisinunua yenye retina kwa hiyo bei yako tena haina betri ndo kabisa utakosa mteja , bei ya betr ya mac sio chin ya 300000
 
kwa nini nisinunua yenye retina kwa hiyo bei yako tena haina betri ndo kabisa utakosa mteja , bei ya betr ya mac sio chin ya 300000

Kanunue mkuu yenye retina haina haja ya kunifahamisha unanunua nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom