Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,157
- 31,334
Hapana namaanisha kucompare laptop kama hyo ya miaka kadhaa nyuma yenye cpu generation ya muda na dell xps15 ni kuionea macbook hyounamaanisha Dell XPS 15 na hiyo Mac kwamba Dell Ni ndogo au ?
Hapana namaanisha kucompare laptop kama hyo ya miaka kadhaa nyuma yenye cpu generation ya muda na dell xps15 ni kuionea macbook hyounamaanisha Dell XPS 15 na hiyo Mac kwamba Dell Ni ndogo au ?
oh ok...ni kweli Apple bidhaa zake unakuta ka perform vizuri Ila lazm ukutane na kimoja wapo Cha kizamaniHapana namaanisha kucompare laptop kama hyo ya miaka kadhaa nyuma yenye cpu generation ya muda na dell xps15 ni kuionea macbook hyo
Kwasababu kipya bei, mfano alizotoa mwaka jana unakuta milion 7 ni wachache wanaoweza kuafford wengi unakuta wanazo za 2014 -2016oh ok...ni kweli Apple bidhaa zake unakuta ka perform vizuri Ila lazm ukutane na kimoja wapo Cha kizamani
Mimi nataka nunua pc yenye weak processor ambayo ni touch na slim sana yani yenye processor weak kweli maana mm kwangu charge ndo my first priority na uslim. Nliyo nayo naona imeanza kuchokaKwasababu kipya bei, mfano alizotoa mwaka jana unakuta milion 7 ni wachache wanaoweza kuafford wengi unakuta wanazo za 2014 -2016
Aje nimpe Mackbook pro toleo la Nov. 2020 kwa 4M tuKwasababu kipya bei, mfano alizotoa mwaka jana unakuta milion 7 ni wachache wanaoweza kuafford wengi unakuta wanazo za 2014 -2016
Kama hufiki day muzee unapiga kimya. Vitu biba wenyewe hivi.ipo macbook pro dukani toleo la 2019 tsh 2.3 kipi bora
#WeNeedPayPal #TunatakaPayPal #TufunguliePayPal