Ushauri unahitajika hapa

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Coca atatesa sana watu humu ndani
Furahia tu lakini jua kuwa chizi anachekesha akwa hatoki kwenye familia yenu.

Kuna siku kwenye familia yako atatokea kijana kama coca, ndio utaelewa maumivu yalivyo
 
Kuna muda nakata tamaa lakini kuna muda nasema huenda akabadilika tusimkatie tamaa bado kijana mdogoπŸ™
 
Furahia tu lakini jua kuwa chizi anachekesha akwa hatoki kwenye familia yenu.

Kuna siku kwenye familia yako atatokea kijana kama coca, ndio utaelewa maumivu yalivyo
Kwa hiyo wewe tabia zako ni kama zake ndo mana hucheki? Pole yako
 
Walikua wanaomba msamaha kwa walichokifanya au kwasababu wamedabwa?
 
Aisee kuna mambo yanashangaza Sana.
Yule mama alitakiwa aanguke chini azimie kabisa kwa alichokiona kwa sababu lile ni tukio zito Sana kwa kweli.
 
Walikua wanaomba msamaha kwa walichokifanya au kwasababu wamedabwa?
Mkuu, mkosaji yeyote huwa anasoma msamaha kwa sababu amedakwa/fumaniwa na sio kwa sababu anajutia kwa alichokifanya
 
Una watetezi wengi, bado kuna yule marimposa, Kuna bichwa komwe n.k lakini wewe mwenyewe ukweli unaujua
Ila Cantry, sasa mie nimefanyeje? Si mnazogoana wenyewe hapo. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukifatilia humu utagundua sijawahi kumtukana mtu kabisa kwahiyo tafadhari tafuta uliozoea kutukana nao Nb mimi sio mburukenge
We ni mburukenge kwenye hoja yako ya msingi ingekuwa busara kama ungetumia neno baadhi...Sasa wewe umejumuisha bimaana hadi mzazi wako wa kiume yumo ndani....Popoma wewe
 
We ni mburukenge kwenye hoja yako ya msingi ingekuwa busara kama ungetumia neno baadhi...Sasa wewe umejumuisha bimaana hadi mzazi wako wa kiume yumo ndani....Popoma wewe
Sukari yako ipo juu sana sina uwezo wa kuishusha hiv una tatizo lolote na mm ?huna uhakika na uanaume wako ? Kwa nn usingechukukia positive naomba unikome we baba nenda Kafie mbele huko kha! umenikalia kooni utadhani nimekubonyeza makende narudia nikome hicho kisirani chako kama mwanamke mwenye mimba nikomee πŸ“Œ
 
We itakuwa msagaji pro max🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…