Ushauri unahitajika hapa

Ushauri unahitajika hapa

cocastic

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2019
Posts
112,102
Reaction score
181,127
Hey Wajaaaaa!!!

Kuna huyu mwanamke anahitaji ushauri wa maana na ulio bora, pasipo kuathiri chochote.

Ila kwenye Ndoa kuna heka heka jamanii, huwa nasemaga Njia ya muongo ni fupii, na ukweli huwa haujifichi ila unachelewa kuonekana.

Kilichonikwaza ni huyo mume kumleta bwana ake ndani, tena chumbani na kitandani kwa watoto?? Wamekosa hela ya guest au Lodge? Km ni kuogopa usalama wa faragha yao, si wangepanga chumba, kiwe maalumu kwa mambo yao binafsi, mwisho anaishia kuumiza hisia za mwenzake,

Watuu kujikubali na kukubali uhalisia jinsi walivyo hawataki, eti kisa kuridhisha jamii na umma. Mambo ndio hayoo.

Mli
1770535793923.jpg
1770535793923.jpg
oko ndoani semeni na shengesha zenu, mtakuja mpate stroke za ukubwani.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Anaogopa kuondoka eti watoto watalelewa malezi ya mzazi mmoja,halafu hapo hapo anasema anamuona mume wake kama Mwanamke mwenzake,

Sasa mpaka hapo si tayari hao watoto wanalelewa na wazazi wawili wenye jinsia moja,kama anamuona mumewe ni sawa na mwanamke mwenzake basi tayari hao watoto wanalelewa na mzazi mmoja,

Ondoka na watoto wako coz hapo hakuna Baba wala hakutakua na malezi ya maana kwa watoto,japo hii mada nahisi ni kama Chai tu.
 
Mambo haya yapo sana mkuu!
 
Anaogopa kuondoka eti watoto watalelewa malezi ya mzazi mmoja,halafu hapo hapo anasema anamuona mume wake kama Mwanamke mwenzake,

Sasa mpaka hapo si tayari hao watoto wanalelewa na wazazi wawili wenye jinsia moja,kama anamuona ni sawa na mwanamke mwenzake basi tayari hao watoto wanalelewa na mzazi mmoja,

Ondoka na watoto wako coz hapo hakuna Baba wala hakutakua na malezi ya maana kwa watoto,japo hii mada nahisi ni kama Chai tu.
Hizi mambo zipo bwashee kuna case moja huyo dada mume wake alikua mchungaji wa kanisa x , ila alikua mchicha mwiba , mke wake aligundua ila ushahidi ukakosekana .

Alitamani kuvunja ndoa ila ilikua ngumu sana kutokana na kuwa mme wake ni mchungaji na ushahidi hana na akifanya hivyo maana yake ,mume wake atakosa kazi na malezi ya watoto yatakua magumu, kutokana na yeye kuwa mama wa nyumbani tu🤔

Kisa hiki nilisimuliwa na huyo dada , na sio za kufikirika bwashee.
 
Bwashee kwa kisa hiki,hao wana ndoa hata wakiendelea kuishi pamoja,hakuna tena upendo kati yao wala hawawezi kuja kuaminiana tena,

Suluhisho hapo ilikua ni kuachana tu ili huyo Mumewe aolewe na huyo mume wake ili achimbuliwe kwa uhuru zaidi coz ndio njia aliyoichagua,

Life is very short,hakuna haja ya kujitesa kwa kuendelea kuishi na mtu wa aina hiyo,hasa kwenye malezi ya watoto.
 
Back
Top Bottom