Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,492
- 2,357
- Thread starter
- #21
Shukrani mkuu, ni vyuo gani vinatoa kozi ya kilimo na biashara au kilimo na uchumiKwa hizo kozi na vyuo anavyotaka ku apply ushindani unakuwa mkubwa uwezekano wa yeye kukosa ni mkubwa kutokana na matokeo yake.
Ila vipo vyuo vingine kama SAUT ya mwanza anaweza akasoma bachelor of arts in Economics kwa mwaka wa tatu atakutana na hiyo AGROECONOMIC
Kuhusu swala la mkopo huwezekano upo wa yeye kupata kama atakuwa na uhitaji