Ushauri: UKAWA wasisimamishe mgombea wa Uspika, hawatashinda

Ushauri: UKAWA wasisimamishe mgombea wa Uspika, hawatashinda

Ukawa itawashangaza wengi kwa Kutoa Spika
 
Jifunze kuipenda demokrasia mkuu, ulicho kileta hakiakishi ubora wa elimu yako, ni haki ya raia yeyote wa nchi hii kuomba kulitumikia taifa na wananchi wake, kwako wewe ni uadui. Tuna jenga nchi moja ugomvi wa fito unatoka wapi? Tafakari na chukua hatua.
 
Ningependa ukawa wafe KISHUJAA na si KUFA kikondoo.
 
Hesabu zako zipo sahihi lakini kuna kitu hujakigundua na hujakiweka.Nimekuwa tempted kukiweka na nikikiweka utabadilisha title yako hapo juu.Ila nao watashtuka sana

Au unamaanisha wale wabunge 50 wa kumfuata mzee enzi zile, watapigia kura ukawa?
 
Hivi kwanini wabunge wanasahau kwamba lile ni bunge la taifa sio la ccm tumechoka kuona bunge la ccm na maaumuzi ya kuikumbatia serikali katika muhimili huu wa dola tunataka bunge makini na lenye kuiwajibisha serikali
Vinginevyo ni porojo tu mle ndani
 
Jifunze kuipenda demokrasia mkuu, ulicho kileta hakiakishi ubora wa elimu yako, ni haki ya raia yeyote wa nchi hii kuomba kulitumikia taifa na wananchi wake, kwako wewe ni uadui. Tuna jenga nchi moja ugomvi wa fito unatoka wapi? Tafakari na chukua hatua.
Kwani ugomvi uko wapi.
 
Hesabu zako zipo sahihi lakini kuna kitu hujakigundua na hujakiweka.Nimekuwa tempted kukiweka na nikikiweka utabadilisha title yako hapo juu.Ila nao watashtuka sana
Asante Ben kwa kunikumbusha hicho kitu nimekigundua na nimekiona kama ulivyosema nakubaliana na wewe.
 
Bado nasisitiza UKAWA wasisimamishe mgombea wampe support mgombea atakayewekwa na CCM.
 
Back
Top Bottom