Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,124
- 5,423
Mpori pori twende taratibu usikimbie nataka tuone kati yangu mimi na wewe nani shule alienda na yupi hakwenda.Ndiyo maana nasema wewe ni msengerema
Kumbe umemaliza form 6 mwaka 2013, wewe ni sawa tu na mtoto wangu
Kumbe napoteza muda kubishana na litoto tu hapa
Sasa nikuambie mimi form 6 nimemaliza mwaka gani?
Unawaonea huruma hao vibaka waliovamia mali za watu badala ya kufanya maandamano?
Wewe ni msengerema kweli kweli.
NB : huna umri wa kujibizana na mimi, nenda huko Facebook
Nimekuambia huyo aliyenunua Twitter ni fala tu hakutakiwa kununua Twitter alitakiwa a-create Twitter yake mpya kama alivyofanya Trump
Wewe ni bwege kweli kumbe form 6 ya 2013?
Sitajibizana na wewe tena
Kumbuka nimeshakuambia wewe ni mtoto kwangu, siwezi kuendelea kujibizana na ukiendelea zaidi nakuweka kwenye ignore list chap
Umekurupuka...!Jeshi halihitaji imani au kupendwa na wananchi
Ni taasisi nyingine kabisa, ina sheria zao, hospitali zao, maduka yao, mahakama zao na maisha yao
Hawahitaji imani wala kupendwa na mtu
Mpori mpori soma matokeo hayo na shule niliyosoma jambo la kumaliza 2013 form six sio hoja ndio maana nikasema akili hauna lakini si kuna wengine wamekwambia kwamba wewe ni hamnazo au ni mimi tu?
Emma high school sio shule za buku buku mpori mpori.Ningezaliwa mapema ningemaliza shule mapema acha kuanika ujinga wako humu.
Sema siwezi kuwa na baba wa hivi hatakama umenizidi umri.Yani mpori mpori unaamini jeshi ni taifa ndani ya taifa.Ulisoma UPE ndio maana siwezi kulaumu
Shule ya ajabu unajua hiko nchi gani?Haiko Tanzania acha wenge weweKuna watu mmesoma shule za ajabu Emma high school ndo takataka gani?
Hakuna JESHI hapo.NAPENDA KUWASILISHA MAPENDEKEZO KUHUSU JINSI JWTZ INAVYOWEZA KUREJESHA NA KUIMARISHA IMANI YA JAMII KUPITIA MAUDHUI YA FILAMU NA TAMTHILIA (MOVIES/SERIES).
Kwa kuzingatia nafasi kubwa ya sanaa katika kuelimisha na kuunganisha jamii, napendekeza JWTZ itengeneze series mbili hadi tatu zenye lengo la kujenga awareness, uaminifu, na uelewa wa kina kwa jamii kuhusu majukumu, maadili, na mchango wa JWTZ katika kulinda taifa.
Mapendekezo Mahususi ni kama ifuatavyo:
1. Maudhui ya Kweli (True Stories):
Movies/series zihusishe historia ya kweli na simulizi halisi za missions ngumu na za kihistoria ambazo JWTZ imewahi kushiriki — iwe ni ndani au nje ya nchi. Hii itasaidia jamii kuona uhalisia, uzalendo, na kujitoa kwa askari wetu.
2. Mtindo wa Uwasilishaji:
Maudhui yawe ya kisasa, yenye ubora wa juu, yakichanganya drama, realism, na documentary style ili kuongeza uhalisia na kugusa hisia za watazamaji.
3. Uchaguzi wa Director na Wataalamu:
Ichaguliwe Director mwenye uwezo, maono, na nidhamu ya kazi, anayeweza kuheshimu misingi ya JWTZ na wakati huohuo kuwasilisha hadithi kwa lugha inayoeleweka na kukubalika na jamii.
4. Uchaguzi wa Wasanii:
Napendekeza kuepuka kutumia wasanii maarufu wa “Sinza” wanaojulikana zaidi kwa umaarufu kuliko uhalisia wa uigizaji.
Badala yake, wachaguliwe wasanii wenye uwezo wa kuigiza kwa uhalisia mkubwa. Benroyal Pictures wana wasanii wenye nidhamu, uwezo wa kuigiza roles nzito, na wanaofaa sana kwa aina hii ya maudhui.
5. Ushirikishwaji wa JWTZ Ndani ya Production:
JWTZ iwe sehemu ya karibu katika uandishi wa script, ushauri wa kiufundi, mavazi, lugha ya kijeshi, na mazingira ya kazi ili kuhakikisha uhalisia na kulinda taswira ya jeshi.
6. Ujumbe Chanya kwa Jamii:
Movies/series zionyeshe pia upande wa kibinadamu wa askari — uzalendo, kujitolea, changamoto za kifamilia, nidhamu, na mchango wao katika amani na maendeleo ya taifa.
7. Mkakati wa Usambazaji (Distribution):
Maudhui yaonyeshwe kwenye majukwaa yanayofikika kwa urahisi kama runinga za kitaifa, majukwaa ya kidigitali, na hata shule au vyuo kama sehemu ya elimu ya uzalendo.
Kwa ujumla, naamini sana kuwa kupitia movies na series zenye uhalisia, ubora, na maudhui ya kweli, JWTZ itaweza kuimarisha uaminifu, kurejesha heshima, na kujenga upya mahusiano chanya na jamii.
Nawasilisha mapendekezo haya kwa heshima kubwa na kwa nia njema ya kuona JWTZ ikiendelea kuwa taasisi inayoheshimika na kuaminiwa na Watanzania wote.
Soma tena ulichoandika...ulitaka kusema nini!?Kilichotokea ni vijana wachache kati Yao waliokuwa na mawazo ya kuungana na vibaka siku Ile.
Pole sana.Umekurupuka...!
Rangi ya damu ya mzee🤣Nadhani hy movie ikielezea watu walivyouawa 29, 30 na 31 October pamoja na JW kuhusika kwenye mauaji hayo wakishirikiana na wanasiasa wauaji, hiyo movie itauza sana kimataifa na kuleta watalii wengi mno kwenye hii nchi mara mbili ya watalii wanaoingia Ufaransa mana ile kazi ya mauaji ya watu wasio na hatia waliifanya vyema.
Tunasema damu ni nyekundu ila huo ni uongo, kwa walioshuhudia yale mauaji na zile maiti watakubaliana nami kuwa damu ni nyeusi.
Mzee mm nlkuwa nakutana na damu nyeusi kama rangi nyeusi ilivyo.Rangi ya damu ya mzee🤣
Uliza waliosoma Uganda au wanaojua Kampala ni sawa na mtu awe nje ya Tanzania ukimwambia kuna shule kama Tusiime, Feza , kaizirege,Waja,Marian si atasema kama wewe.Siwezi kulaumu tu sema ulizia wanaojua watakusaidia.Kutokuwa Tanzania haihalalishi Kuwa umesoma shule ya ajabu, jina tu limekaa kimchongo kama open school
Hiki ulichokisema hapa kwa hii comment ni moja ya kiashiria kuwa na jeshi la ovyo sana la watu wasiotumia akili hata kidogo, halijui kutengeneza uhusiano mzuri na wanainchi... na ndio maana wanainchi tulio wengi tunalichukia.Haya wewe una akili, Furahi sasa
Kama jeshi ni la wananchi katisha kizembe kambini kwao sababu wewe ni mwananchi uone kibano chake
HUYO MTU NI MJINGA!Hiki ulichokisema hapa kwa hii comment ni moja ya kiashiria kuwa na jeshi la ovyo sana la watu wasiotumia akili hata kidogo, halijui kutengeneza uhusiano mzuri na wanainchi... na ndio maana wanainchi tulio wengi tunalichukia.
Kumpa adhabu raia kisa tu amekatisha kwenye kambi ya jeshi ni upumbavu wa hali ya juu, huo ujinga huwezi kuskia kwenye majeshi bora duniani.
Unasema kuwa jeshi halihitaji kupendwa na wanainchi, aisee basi una akili za kitoto sana, sidhani kama unajua hata moja ya sababu zilizofanya JWTZ wakamkimbiza Amin ilikuwa ni ushirikiano mzuri walioutoa waganda kwa wanajeshi wetu.
Kwahiyo kazi ya Jeshi na uwezo wake ni kupambana na kina JUMA KIDUKU.Haya wewe una akili, Furahi sasa
Kama jeshi ni la wananchi katisha kizembe kambini kwao sababu wewe ni mwananchi uone kibano chake
Mbona mna kazia sana hii jamani, mtoa mada ametoa ushauri mzuri nami naunga mkonoWasisahau kipande cha October 29
Hayo uliyosema ni kwa majeshi ya UlayaJeshi halihitaji imani au kupendwa na wananchi
Ni taasisi nyingine kabisa, ina sheria zao, hospitali zao, maduka yao, mahakama zao na maisha yao
Hawahitaji imani wala kupendwa na mtu