kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 753
Huu ushaur hasa ni kwa wale tusio na kazi.Baba warudi saa 6 usiku watoto wamelala waondoka 12 saa ngapi utakabidhi kwa watoto na ukiwahi kurudi maji ya membe full kichwani wapi na wapi na watoto!
Ndio maana jana baby nmekuambia ivi ,lazima tuzae namtoto wakwanza awe mschana.[emoji8] .Ninashinda nao..nawapa chakula..nawaandaa na shule..nawapeleka shopping..eti wakikosa nije kumwambia baba yao..!!nani kasema!! Nawapiga vizuri tu Baba yao atapewa taarifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee ukileta vyote ivyo hakikisha unatafuta na eneo la kufugia hyo mifugo..khaaNdio maana jana baby nmekuambia ivi ,lazima tuzae namtoto wakwanza awe mschana.[emoji8] .
Nasipatii picha atakavyokua amejaa ,guu guu ,kalio kalio ,sura sura km mama yake.[emoji8][emoji8] unakila sababu yakutolewa ng'ombe zaidi ya 40 kama mahari , kondoo na mbuzi 36 . Thaman yake sitaki kujua.
[emoji85]..lakini nimeyapenda hayo maneno ya mwisho..[emoji3]Yaaan niivi , kila kitu mpaka mwangalizi wake .
Wajua wazazi wako niwazazi wangu , ndugu wako niwangu pia , nitaanzaje kuacha wahangaike na mifugo??
Hapana japokua Nilishangaaga bro kutoa mahari ilonitikisa , ila sasa naelewa kuna mwanamke uwezo ukiwa mkubwa hata kumtolea milion 100 nisawa tu .... Wewe nizaidi ya Baraka .
Ahsantee..nahisi nazidi nenepa sasa..punguzaga kidogo hayo maneno ili nikonde..[emoji23]Ndo maana niliyaandika kwasababu nalijua fika ungeyapenda .
Usiishie kuyapenda tu , naitaji uyaishi.