Kansigo
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 2,670
- 2,156
Kwahali ya Tanzania ilivyo kwa sasa hasa baada ya uchumi kuanza kuyumba, MCC kukata mirija, Nchi 10 kati ya 14 zinazochangia budget kusepa,Bandarini kuzorota, Wafanyabiashara kutoagizi kama kawaida ili tukusanye kodi, mapato ya ndani TRA kuendelea kupungua, kila kinachokusanya kinatumika, kulipia elimu bure kuzidi kuwa kugumu.
Budget deficit itakuwa kubwa mno,Tupo almost Milion 50, assume wanaoqualify kulipa kodi ya kichwa ni milion 25, na kodi per head iwe 10,000 (elfu kumi tu) 25,000,000 (idadi ya walipa kodi) * 10,000 (kodi per head) = 250,000,000,000 (kama sikosei ni trilion 2 na nusu), ZITASAIDIA KIDOGO.
Nadhani tufikirie kuirudisha kodi ya kichwa sasa ile ya miaka ileeee.