Ushauri: Tumuache asome diploma au aende kidato cha tano?

Luisdukee

Member
Joined
Mar 19, 2025
Posts
8
Reaction score
14
Habari za saizi
Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana, amefanikiwa kupata division two, yeye anataka akasome diploma ya physiotherapy na ili asiende advance anasema itakuwa ngumu kuchaguliwa PCB amepata Physics -D Biology -C Chemistry -C Mathematics -C.

Je, tumuache tu aende diploma?
 
Kama lengo lake ni PCB mpelekeni private.ili akimaliza aende degree moja kwa moja .
But kama mwenyewe kasema anataka physiotherapy mpelekeni ni kozi nzuri japo mngemwambia pia kuhusu diploma ya dental
 
Habari za saizi
Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana, amefanikiwa kupata division two, yeye anataka akasome diploma ya physiotherapy na ili asiende advance anasema itakuwa ngumu kuchaguliwa PCB amepata Physics -D Biology -C Chemistry -C Mathematics -C.

Je, tumuache tu aende diploma?
Mkuu wahi nafasi Veta ndo habari ya mjini
 
Km ana 2 ya 18 au 19, basi PCB anachaguliwa bila shida, tena 1St selection, labda aseme yeye mziki wa PCB advance hajioni akitoboa.

Lakini kwa kuwa yeye ameona bora aende Dip basi muacheni, ila mpeni ushauri, sio hiyo anayoitaka, aende Dental ina soko kwa sasa.

Ni hayo tyuuh.
 
Habari za saizi
Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana, amefanikiwa kupata division two, yeye anataka akasome diploma ya physiotherapy na ili asiende advance anasema itakuwa ngumu kuchaguliwa PCB amepata Physics -D Biology -C Chemistry -C Mathematics -C.

Je, tumuache tu aende diploma?
Mkuu ushauri wangu,huyo ni kijana mdogo mshauri asomee koz ambazo mabadiliko ya Artificial Intelligency hayataathiri sana career yake.Kuna kozi baada ya miaka 10 au 20 hazitakuwa na tija tena na soko lake litakuwa gumu sana.Angalia anachokipenda then fanyen research ya kutosha ili msije kujutia au kulaumu huko mbeleni.Nataman kama taifa tungejitahid kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu AI ili kunusuru vyuo vyetu na watoto wetu.Chukulia tu mfano wa Gun massage na mashine zinazojiendesha zenyewe hospital kusaidia egronomic za wagonjwa wengi.Njoo DM tuyajenge zaid
 
Muache akasome Diploma
 
Kwaiyo unamaanisha mbeleni physiotherapy itakuwa haina soko tena?🤔
 
Habari za saizi
Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana, amefanikiwa kupata division two, yeye anataka akasome diploma ya physiotherapy na ili asiende advance anasema itakuwa ngumu kuchaguliwa PCB amepata Physics -D Biology -C Chemistry -C Mathematics -C.

Je, tumuache tu aende diploma?
Huyo mdogo wako ameona mbali.
Ameshajua kwamba atajitesa bure kwenda form 5 plus miaka 5 ya medicine halafu mwisho wa siku ataambiwa aende Veta.
Kwa hiyo mimi nakubaliana na mawazo yake ni bora asome Diploma kisha ajiingize kwenye soko la ajira mapema hali si shwari
 
Aende physiotherapy radiology clinical optometry au clinical dentist....kwa pcb anawez kupata ila kusoma degree ya afya anapaswa awe vizuri kwasabb kwa degree za MD pharmacy lab wanaangalia div one kali above one ya Saba je ataweza kukomaa ila kama ataend diploma kwa hizo kozi akapambana asipate gpa below 4 bas tena anakua hot keki
 
Back
Top Bottom