Metadata
Senior Member
- Jul 7, 2013
- 186
- 125
Wakuu poleni na majukumu. Nina ndugu yangu amemaliza form four Combination PCM ana (C,B,A) respectively. Sasa ni muda wa maandalizi ya kwenda A level hivyo;
Natafuta tuition centre makini kwa masomo hayo mawili tu A level Pure Mathematics na Physics kwa hapa Dar.
Enzi zetu tulisomaga kwa Mudy (Commisioner), sir unga, mgote na Logman mchikichini. Iwapo kama bado wako nondo dogo aende au nadhani mambo yamebadilika, hivyo karibuni mnipe ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app