Ushauri: Tsh milioni nne nifanye biashara gani?

Ushauri: Tsh milioni nne nifanye biashara gani?

Kwann Sasa asilime...????
Aende morogoro achukue heka mbili za shamba alime mahindi akipata kauzoefu aongeze heka zingine.
Maana Kununua heka mbili ni Kama laki tisa huko au million.
Na Fremu naifanyaje wajameni
 
Hii kitu fanya hutajuta na utakuja nishukuru (Je nikafate Nazi kwa wingi Kongowe)Na uzuri wake anza na milioni moja tu 3 weka hakiba na biashara ya nazi ikiwa nzuri naomba unione .
Aksante sana rafiki
 
Habari ndugu zanguni nyote.
Ni wiki sasa nawaza na kuwazua nifanye biashara gani ili nisipate hasara?
Tayari nimeshalipia flem( niliiwahi kwa kuwa zipo chache huku mtaani)
Kabla niliwaza yafuatayo
1. Je nianzishe kuuza mchele? Kuulizia nikakuta kwa upo juu sana na msimu sio rafiki
Je nifungue spare za bajaji au pikipiki? Mana ni njia kuu yao niweke na fundi?
Au je nifungue Genge Duka bidhaa zote muhimu?
Je nikafate Nazi kwa wingi Kongowe
Aiseeee!
Mwenye wazo zuri basi kumbuka nataka kufungua mtaani
Hio ya pili ndio ufanye! Biashara za faida za 100/200 zitakuchelewesha sana halafu mchele kila mtu anao!

Lenga biashara inakupa buku kwa kila unit unayouza au atleast 500 hivi! Penye mzunguko utasogea haraka yani! Naiona hio ya vifaa vya pikipiki iko ideal sana hasa ukiwa na fundi wako.
 
Hio yapili ndio ufanye! Biashara za faida za 100/200 zitakuchelewesha sana halafu mchele kila mtu anao!

Lenga biashara inakupa buku kwa kila unit unayouza au atleast 500 hivi! Penye mzunguko utasogea haraka yani! Naiona hio ya vifaa vya pikipiki iko ideal sana hasa ukiwa na fundi wako.
Hata mimi kila nikilala nikiamka hii ya vifaa vya bajaji na pikipiki naona kama ni nzuri sana na fundi awepo ni kweli kuna Biashara jina kuubwa but ulizia faida is like whaaaat?? Labda mzunguko uwe mzuri na jumla na rejareja
 
Weka nguo za watoto na mabinti za mitumba; na uweke binti wa cherehani huku akiuza pamoja na kushona shona
 
Back
Top Bottom