Ushauri: Tsh milioni nne nifanye biashara gani?

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,409
Habari ndugu zanguni nyote.
Ni wiki sasa nawaza na kuwazua nifanye biashara gani ili nisipate hasara?

Tayari nimeshalipia flem( niliiwahi kwa kuwa zipo chache huku mtaani)

Kabla niliwaza yafuatayo
1. Je nianzishe kuuza mchele? Kuulizia nikakuta kwa upo juu sana na msimu sio rafiki

Je nifungue spare za bajaji au pikipiki? Mana ni njia kuu yao niweke na fundi?

Au je nifungue Genge Duka bidhaa zote muhimu?

Je nikafuate Nazi kwa wingi Kongowe

Aiseeee!
Mwenye wazo zuri basi kumbuka nataka kufungua mtaani
 
Si mchezo.

So ukalipia fremu ukimaanisha wazo lolote litakalokuja lazima liconsider uwepo wa fremu.

Nitacheka mtu akija akakuambia ulime.
Kwann Sasa asilime...????
Aende Morogoro achukue heka mbili za shamba alime mahindi akipata kauzoefu aongeze heka zingine.
Maana Kununua heka mbili ni Kama laki tisa huko au million.
 
Habari ndugu zanguni nyote.
Ni wiki sasa nawaza na kuwazua nifanye biashara gani ili nisipate hasara?
Tayari nimeshalipia flem( niliiwahi kwa kuwa zipo chache huku mtaani)
Kabla niliwaza yafuatayo
1. Je nianzishe kuuza mchele? Kuulizia nikakuta kwa upo juu sana na msimu sio rafiki
Je nifungue spare za bajaji au pikipiki? Mana ni njia kuu yao niweke na fundi?
Au je nifungue Genge Duka bidhaa zote muhimu?
Je nikafate Nazi kwa wingi Kongowe
Aiseeee!
Mwenye wazo zuri basi kumbuka nataka kufungua mtaani
That is an studio apartment. Njoo inbox na hutojuta
 
Mahindi? Hapa kuna mtu ana mahindi ya tangu 2017 anasubiria bei isogee
Mwambie akoboe hayo mahindi

Pumba atakayopata atumie kufugia kitimoto na Unga wa sembe auze mtaani kwake kwa bei ya chini kidogo ya bei iliyopo sasa
 
Huyu mzee ana pesa hapa kijijini hizo long range shots za kukoboa ufuge kusubiri wakue hawezi kuweza. Sababu pekee anagoma kuyauza ni kutokana na bei ndogo sasa kuuza tena kwa bei ndogo kuliko iliyopo sidhani kama itamuingia akilini.
 
Mwambie aendelee kuyatunza, mwaka huu mvua chache na kuna tishio la ukame kwahiyo mwakani atauza kwa bei nzuri tu mhimu ayatunze
 
Back
Top Bottom