Ushauri: transfer

Ushauri: transfer

James Hungury

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
825
Reaction score
612
Habar wadau jukwaa la jamii elimu....naomba ushaur wenu katika hili kwa wale wenye uelewa katika vyuo hiv viwil...makumira ya arusha na iringa university...
Mim nilionba nafas kujiunga bba in mrktn..
Suala hapa ni kuwa nilitaka niombe transfer toka chuo nilichochaguliwa yaan iringa university kwenda makumira..je mnaofaham hiki chuo je kipi kiko safi...naogopa kuruka maji nikafikia tope...ushaur wenu muhimu.ahsantr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom