Ushauri-TOYOTA IST

Ushauri-TOYOTA IST

tommie

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
47
Reaction score
8
Habari wakubwa, mi nimeiona hii model kwenye mitandao na nimeipenda ila sifahamu jinsi ilivyo,wala bei yake kwa yard za hapa Tz naombeni ushauri wenu juu ya ubora wake na uimara wake,natanguliza shukran..
 
Ni gari nzuri sana hata Mimi naipenda sana lakini bei yake iko juu sana.Yard za Bongo ni around 12 m.Ngoja waje wengine kwa ushauri zaidi.
 
Back
Top Bottom