kibigolo10
Member
- Sep 16, 2014
- 6
- 0
Jaman wana jamii forum naomben msaada ni hivi mm nmeghairi na hizo transfer za tcu maana zmekuja late na huku chuon wamening'ang'ania. So itakua na madhara nikiacha? Naomben
hivi mfano mtu kapata transfer ya nursing na anavigezo vya kusoma pharmacy je anaweza kufika chuoni akabadili kozi????