Let me guess...Wazo langu ni kuwa TANESCO wa charge angalau Tsh 1000/= kwa mwezi kama mamlaka nyingine zinavyofanya. Naamini idadi ya wateja wa TANESCO wanaweza kuwa zaidi ya 2m. Maana yake hapo TANESCO wanaweza kupata zaidi ya Tsh. 2B kwa mwezi na zikasaidia kwenye mambo yafuatayo.
Hii bangi tuMiaka ya nyuma kidogo TANESCO walikuwa wana charge Tsh. 7,000/= kwa mwezi kama Service Charge kwa wateja wake. Lakini ilikuja kufutwa kwakuwa ilionekana ni mzigo kwa watumiaji wa umeme hasa wale wa Tariff 1 na Tariff 0 kwakuwa ndio wateja zaidi ya 90% ya wateja wote wa TANESCO. Hii nikiri kwamba ulikuwa ni mzigo mkubwa sana kwa watumiaji wa umeme.
Katika uchunguzi wangu naona TANESCO wanajiendesha kwa gharama kubwa sana katika kuhudumia wateja wake maeneo mbalimbali nchini. Mfano mteja anaweza akawa yupo umbali wa Kilometre 100 kutoka ofisi zilipo na akatoa taarifa kuwa hana umeme. TANESCO wataenda kumhudumia na ajabu wanaenda kukuta ni Circuit Breaker tu imetrip. Hapo go and return umeenda 200km. Kwa gari yenye burning rate ya 5kms/l maana yake hapo umetumia litre 40. Let say litre 1 ni Tsh 2000.
Maana yake umetumia Tsh 80,000/= kwenda kumhudumia mteja tena wa Tariff 0 ambaye maximum ananunua umeme wa Tsh 9000 kwa mwezi. Hapo nimepigia mteja mmoja wa direction moja na pia gharama za wear and tear za gari hazijapigwa, gharama za kusogeza odometer karibu na service hazijapigwa. Sasa katika hili jaribu kuzidisha na magari yote Tanzania uone gharama zake. Hii kwangu mimi inachelewesha maendeleo kwa TANESCO hata kama wanapata faida.
Wazo langu ni kuwa TANESCO wa charge angalau Tsh 1000/= kwa mwezi kama mamlaka nyingine zinavyofanya. Naamini idadi ya wateja wa TANESCO wanaweza kuwa zaidi ya 2m. Maana yake hapo TANESCO wanaweza kupata zaidi ya Tsh. 2B kwa mwezi na zikasaidia kwenye mambo yafuatayo.
a) Kuboresha huduma kwa kuongeza idadi ya magari na wafanyakazi ili kuhudumia wateja ipasavyo.
b) Kupata fedha za kupeleka umeme maeneo ya kimkakati hasa viongozi wa kitaifa wanapoagiza.
c) Kuboresha hali ya umeme maeneo ambayo umeme sio mzuri sana.
d) Kupata fungu la kuhakikisha miundo mbinu chakavu inafanyiwa kazi na kupata reliable power supply.
e) n.k.
Najua hapa nitashambuliwa sana lakini lengo ni kujenga nchi na si vinginevyo.
Nawasilisha.
Kwanini 100km, Chalinze wahudumie morogoro mjini! Wapi huko kwenye umbali mrefu hivo? Na sehemu kama hizo zinaweza kuwa ngapi?Miaka ya nyuma kidogo TANESCO walikuwa wana charge Tsh. 7,000/= kwa mwezi kama Service Charge kwa wateja wake. Lakini ilikuja kufutwa kwakuwa ilionekana ni mzigo kwa watumiaji wa umeme hasa wale wa Tariff 1 na Tariff 0 kwakuwa ndio wateja zaidi ya 90% ya wateja wote wa TANESCO. Hii nikiri kwamba ulikuwa ni mzigo mkubwa sana kwa watumiaji wa umeme.
Katika uchunguzi wangu naona TANESCO wanajiendesha kwa gharama kubwa sana katika kuhudumia wateja wake maeneo mbalimbali nchini. Mfano mteja anaweza akawa yupo umbali wa Kilometre 100 kutoka ofisi zilipo na akatoa taarifa kuwa hana umeme. TANESCO wataenda kumhudumia na ajabu wanaenda kukuta ni Circuit Breaker tu imetrip. Hapo go and return umeenda 200km. Kwa gari yenye burning rate ya 5kms/l maana yake hapo umetumia litre 40. Let say litre 1 ni Tsh 2000.
Maana yake umetumia Tsh 80,000/= kwenda kumhudumia mteja tena wa Tariff 0 ambaye maximum ananunua umeme wa Tsh 9000 kwa mwezi. Hapo nimepigia mteja mmoja wa direction moja na pia gharama za wear and tear za gari hazijapigwa, gharama za kusogeza odometer karibu na service hazijapigwa. Sasa katika hili jaribu kuzidisha na magari yote Tanzania uone gharama zake. Hii kwangu mimi inachelewesha maendeleo kwa TANESCO hata kama wanapata faida.
Wazo langu ni kuwa TANESCO wa charge angalau Tsh 1000/= kwa mwezi kama mamlaka nyingine zinavyofanya. Naamini idadi ya wateja wa TANESCO wanaweza kuwa zaidi ya 2m. Maana yake hapo TANESCO wanaweza kupata zaidi ya Tsh. 2B kwa mwezi na zikasaidia kwenye mambo yafuatayo.
a) Kuboresha huduma kwa kuongeza idadi ya magari na wafanyakazi ili kuhudumia wateja ipasavyo.
b) Kupata fedha za kupeleka umeme maeneo ya kimkakati hasa viongozi wa kitaifa wanapoagiza.
c) Kuboresha hali ya umeme maeneo ambayo umeme sio mzuri sana.
d) Kupata fungu la kuhakikisha miundo mbinu chakavu inafanyiwa kazi na kupata reliable power supply.
e) n.k.
Najua hapa nitashambuliwa sana lakini lengo ni kujenga nchi na si vinginevyo.
Nawasilisha.
Hakika. Si kwa unoko uleUna 'Roho Mbaya' mithili kuwa Mchawi.
Hesabu hizo piga kwa mteja aliye nje ya ofisi ya TANESCOMiaka ya nyuma kidogo TANESCO walikuwa wana charge Tsh. 7,000/= kwa mwezi kama Service Charge kwa wateja wake. Lakini ilikuja kufutwa kwakuwa ilionekana ni mzigo kwa watumiaji wa umeme hasa wale wa Tariff 1 na Tariff 0 kwakuwa ndio wateja zaidi ya 90% ya wateja wote wa TANESCO. Hii nikiri kwamba ulikuwa ni mzigo mkubwa sana kwa watumiaji wa umeme.
Katika uchunguzi wangu naona TANESCO wanajiendesha kwa gharama kubwa sana katika kuhudumia wateja wake maeneo mbalimbali nchini. Mfano mteja anaweza akawa yupo umbali wa Kilometre 100 kutoka ofisi zilipo na akatoa taarifa kuwa hana umeme. TANESCO wataenda kumhudumia na ajabu wanaenda kukuta ni Circuit Breaker tu imetrip. Hapo go and return umeenda 200km. Kwa gari yenye burning rate ya 5kms/l maana yake hapo umetumia litre 40. Let say litre 1 ni Tsh 2000.
Maana yake umetumia Tsh 80,000/= kwenda kumhudumia mteja tena wa Tariff 0 ambaye maximum ananunua umeme wa Tsh 9000 kwa mwezi. Hapo nimepigia mteja mmoja wa direction moja na pia gharama za wear and tear za gari hazijapigwa, gharama za kusogeza odometer karibu na service hazijapigwa. Sasa katika hili jaribu kuzidisha na magari yote Tanzania uone gharama zake. Hii kwangu mimi inachelewesha maendeleo kwa TANESCO hata kama wanapata faida.
Wazo langu ni kuwa TANESCO wa charge angalau Tsh 1000/= kwa mwezi kama mamlaka nyingine zinavyofanya. Naamini idadi ya wateja wa TANESCO wanaweza kuwa zaidi ya 2m. Maana yake hapo TANESCO wanaweza kupata zaidi ya Tsh. 2B kwa mwezi na zikasaidia kwenye mambo yafuatayo.
a) Kuboresha huduma kwa kuongeza idadi ya magari na wafanyakazi ili kuhudumia wateja ipasavyo.
b) Kupata fedha za kupeleka umeme maeneo ya kimkakati hasa viongozi wa kitaifa wanapoagiza.
c) Kuboresha hali ya umeme maeneo ambayo umeme sio mzuri sana.
d) Kupata fungu la kuhakikisha miundo mbinu chakavu inafanyiwa kazi na kupata reliable power supply.
e) n.k.
Najua hapa nitashambuliwa sana lakini lengo ni kujenga nchi na si vinginevyo.
Nawasilisha.
Mkuu ni kweli mchango wako, lakini chuki na povu jingi ulionalo labda ni matokeo ya watoa huduma wenyewe ni kwa namna gani wamekuwa wakiwahudumia watanzania? hapa nahisi ndio penye chuki halisi ya watanzania, ilifika mahala umeme ulionekana ni anasa wakati ni huduma muhimu, ilifika mahala ukilipia umeme utasahau maana iabidi uwabembelezeeeee na rushwa uwape ili waje kukufungia umeme, likitokea tatizo la nguzo kuanguka au waya kukatika watakuja katika muda watakao ilifika mahala baadhi ya staffs walijiona ka miungu watu hii kitu inauma sana na ndiyo inacreate chuki baina ya mtoa huduma na wapewa huduma na hii ndio maana unaona povu la kumwaga katika uzi huu, na sio watoa huduma hawa tu angalia hata watoa huduma wa kimiminika nao pia wako hovyo sana, sasa nambie ni nani atakubali kuwachangia ili waendelee ilhali huduma ni mbovu na wengi baadhi yao wametanguliza uchu wa rushwa.Mkuu sahau! watanzania kujitolea hilo suala sahau kabisa, tembelea shule za msingi na sekondari ndio utajua akili ya watanzania ni kiwango gani.
Ukitaka kujuwa uwezo wa kufikiri wa jamii angalia shule zao, binafsi huwa nachukilia watanzania sisi ni wadumavu wa akili kuliko mataifa mengi ya Afrika.
Watanzania wapo tayari wajenge msikiti/kanisa wakati shule hazina madirisha na mabati yanavuja.
Mtanzania yupo tayari mtoto wake ashinde njaa shule kwa sababu serikali haitoi chakula shule, yeye hawezi kuchangia anataka chakula cha bure shuleni.
Nilitegemea watu wahoji matumizi halali ya pesa zinazokusanywa na Tanesco, je pesa haziibiwi na wachache, je hakuna mianya ya upotevu na si kupinga shirika kukusanya na kujiendesha.
Wakati hoja ya bandari ya Bagamoyo imeibuka binafsi nikawaza, hivi kama watu wanaishuku china katika huo mkataba, je watanzania hawawezi kujichanga kwa umoja wao kukusanya hizo trilioni 21 hata kama itachukua miaka 5., je kampuni moja ya china inaweza kuwashinda watanzania wote !
Sasa mtoa mada napata majibu kuwa watanzania hawapo tayati kujenga nchi yao kwa kutoa visingizio vya hovyo hovyo.
Chaji ya Huduma ilitakiwa isamehewe kwa wazee, wagonjwa na na sio vijana wenye nguvu wanataka mtelemko.
Kijana mzima unapinga kuchangia buku au 2000 kwa maendelea ya Taifa lako, unataka Taifa lijengwe ma nani?
Mkuu ni kweli, lakini ili hawa watoa huduma akili ziwakae sawa yabidi kuwe na ushindani, hawa jamaa hawana mshindani kwa hiyo usemayo ya kusimika nguzo na kadhalika ni lazima uwabembeleze kwa kuwa huna pa kwenda, nasistiza tena kwa msistizo hawa watafutiwe mwenza halafu kuwekwe mazingira bora ya ushindani kama hawatobadilika tutawasahau.Hao wafanyakazi watawalipa nini mku ?.
Watanzania tufanyeni kazi tuijenge nchi kwa nini tunataka huduma zaburebure tu.
Je ukimwita fundi aje acheki system ya umeme humlipi hela?
Tuache siasa za elimuu bure .
Service charge inatakuwa ila isiwe kubwa ya kuumiza.
Tunataka ifike wakati Tanesco wasimike nguzo bila kusubiri watu, nguzo ziwasubiri wat sio watu wasubiri nguzo za umeme.
Miaka ya nyuma kidogo TANESCO walikuwa wana charge Tsh. 7,000/= kwa mwezi kama Service Charge kwa wateja wake. Lakini ilikuja kufutwa kwakuwa ilionekana ni mzigo kwa watumiaji wa umeme hasa wale wa Tariff 1 na Tariff 0 kwakuwa ndio wateja zaidi ya 90% ya wateja wote wa TANESCO. Hii nikiri kwamba ulikuwa ni mzigo mkubwa sana kwa watumiaji wa umeme.
Katika uchunguzi wangu naona TANESCO wanajiendesha kwa gharama kubwa sana katika kuhudumia wateja wake maeneo mbalimbali nchini. Mfano mteja anaweza akawa yupo umbali wa Kilometre 100 kutoka ofisi zilipo na akatoa taarifa kuwa hana umeme. TANESCO wataenda kumhudumia na ajabu wanaenda kukuta ni Circuit Breaker tu imetrip. Hapo go and return umeenda 200km. Kwa gari yenye burning rate ya 5kms/l maana yake hapo umetumia litre 40. Let say litre 1 ni Tsh 2000.
Maana yake umetumia Tsh 80,000/= kwenda kumhudumia mteja tena wa Tariff 0 ambaye maximum ananunua umeme wa Tsh 9000 kwa mwezi. Hapo nimepigia mteja mmoja wa direction moja na pia gharama za wear and tear za gari hazijapigwa, gharama za kusogeza odometer karibu na service hazijapigwa. Sasa katika hili jaribu kuzidisha na magari yote Tanzania uone gharama zake. Hii kwangu mimi inachelewesha maendeleo kwa TANESCO hata kama wanapata faida.
Wazo langu ni kuwa TANESCO wa charge angalau Tsh 1000/= kwa mwezi kama mamlaka nyingine zinavyofanya. Naamini idadi ya wateja wa TANESCO wanaweza kuwa zaidi ya 2m. Maana yake hapo TANESCO wanaweza kupata zaidi ya Tsh. 2B kwa mwezi na zikasaidia kwenye mambo yafuatayo.
a) Kuboresha huduma kwa kuongeza idadi ya magari na wafanyakazi ili kuhudumia wateja ipasavyo.
b) Kupata fedha za kupeleka umeme maeneo ya kimkakati hasa viongozi wa kitaifa wanapoagiza.
c) Kuboresha hali ya umeme maeneo ambayo umeme sio mzuri sana.
d) Kupata fungu la kuhakikisha miundo mbinu chakavu inafanyiwa kazi na kupata reliable power supply.
e) n.k.
Najua hapa nitashambuliwa sana lakini lengo ni kujenga nchi na si vinginevyo.
Nawasilisha.
Ishaurini serikali basi irudishe kodi ya kichwa (kila raia alipe kodi) ili tupate maendeleo makubwa kama mnafikiri maendeleo yanapatikana zaidi kwa kuwatoza raia.Mkuu sahau! watanzania kujitolea hilo suala sahau kabisa, tembelea shule za msingi na sekondari ndio utajua akili ya watanzania ni kiwango gani.
Ukitaka kujuwa uwezo wa kufikiri wa jamii angalia shule zao, binafsi huwa nachukilia watanzania sisi ni wadumavu wa akili kuliko mataifa mengi ya Afrika.
Watanzania wapo tayari wajenge msikiti/kanisa wakati shule hazina madirisha na mabati yanavuja.
Mtanzania yupo tayari mtoto wake ashinde njaa shule kwa sababu serikali haitoi chakula shule, yeye hawezi kuchangia anataka chakula cha bure shuleni.
Nilitegemea watu wahoji matumizi halali ya pesa zinazokusanywa na Tanesco, je pesa haziibiwi na wachache, je hakuna mianya ya upotevu na si kupinga shirika kukusanya na kujiendesha.
Wakati hoja ya bandari ya Bagamoyo imeibuka binafsi nikawaza, hivi kama watu wanaishuku china katika huo mkataba, je watanzania hawawezi kujichanga kwa umoja wao kukusanya hizo trilioni 21 hata kama itachukua miaka 5., je kampuni moja ya china inaweza kuwashinda watanzania wote !
Sasa mtoa mada napata majibu kuwa watanzania hawapo tayati kujenga nchi yao kwa kutoa visingizio vya hovyo hovyo.
Chaji ya Huduma ilitakiwa isamehewe kwa wazee, wagonjwa na na sio vijana wenye nguvu wanataka mtelemko.
Kijana mzima unapinga kuchangia buku au 2000 kwa maendelea ya Taifa lako, unataka Taifa lijengwe ma nani?
Bado unakaa kwa baba siyo??Hapana. Nimewahi kufanya field tu nikajua hayo.