Ushauri tafadhari

Ushauri tafadhari

gabu

Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Naomba mchangn wa mawazo ili nimshauri ndugu yangu. Yeye ni mwalimu ameajiriwa na serikali, alifanya mpango akaenda kusomea shahada ya (CED) maendeleo ya jamii na uchumi amemaliza 2011. ametafuta kazi inayoendana na fani mpya hajapata. mwishoni aliamua kuomba kwenye NGO inayoitwa AFRICA VOLUNTEER CORPS kama volunteer ili apate uzoefu kazini. Amepata kwa kulipwa dola 150 kwa mwezi . Kuna utofauti kidogo wa anacholipwa sasa na hicho cha dola 150.naombeni mchango wenu wa mawazo ili nimshauri.
 
Mkuu Sijakuelewa Hapo Kwenye Blue
Anakolipwa Sasa Si Ni Kutoka NGO Ambayo Ndio Dola 150?
 
Huko kwenye NGO hajaenda.Hicho kiasi chenye utofauti na dola 150 ni mshahara wake wa ualimu.Natumai umenielewa
 
Back
Top Bottom