Ushauri tafadhari

ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
9,196
8,201
Habari zenu wanajamvi! Nina rafiki yangu mmoja amenishirikisha jambo so anahitaji ushauri, mimi sio Dr so sijui chochote, Issue iko hivi yeye miezi michache ijayo atafunga ndoa, lkn kabla ya kumpata mwanume huyu anaefunga nae ndoa alikuwa na BF mwingine, ktk mahusiano yao huyo bf walikuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile japo kwa madai yake ilikuwa si mara kwa mara. Sasa tatizo lake ni hili kwamba amekuwa akisikia watu wakisema kuwa mwanamke akifanya mapenzi kinyume na maumbile akibeba ujauzito siku ya kujifungua atapata matatizo, sasa anaogopa anatamani hata asiolewe kwasababu anaona ataumbuka, yuko njia panda afanyeje ila huo mchezo ameshauacha tangu aachane na boyfriend wake huyo takribani miezi nane sasa, ushauri wenu tafadhari!
 
Habari zenu wanajamvi! Nina rafiki yangu mmoja amenishirikisha jambo so anahitaji ushauri, mimi sio Dr so sijui chochote, Issue iko hivi yeye miezi michache ijayo atafunga ndoa, lkn kabla ya kumpata mwanume huyu anaefunga nae ndoa alikuwa na BF mwingine, ktk mahusiano yao huyo bf walikuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile japo kwa madai yake ilikuwa si mara kwa mara. Sasa tatizo lake ni hili kwamba amekuwa akisikia watu wakisema kuwa mwanamke akifanya mapenzi kinyume na maumbile akibeba ujauzito siku ya kujifungua atapata matatizo, sasa anaogopa anatamani hata asiolewe kwasababu anaona ataumbuka, yuko njia panda afanyeje ila huo mchezo ameshauacha tangu aachane na boyfriend wake huyo takribani miezi nane sasa, ushauri wenu tafadhari!

Hivi ni Tafadhari au tafadhali?
Naombeni mwongozo wakuu
 
hii mada ilishawahi kultwa hapa........


aache huo mchezo
akibeba mimba ajifungue kwa operation
 
hii mada ilishawahi kultwa hapa........


aache huo mchezo
akibeba mimba ajifungue kwa operation

Thanks Edson, alishaacha huo mchezo na anajuta. Sasa hiyo opareshen ataomba afanyiwe tu hata kama hana sababu ya kufanyiwa oparesheni, si hata Dr atamshangaa
 
Dah, halafu hayo mambo wanaume wa siku hizi wanayapenda mno, asilimia kubwa ya wanaume siku hizi wanaupenda huo mchezo, sijui ni kwanini, kuhusu matatizo wakati wa kujifungua nafikiri wenzetu Waarabu, Wasomali,Wazanzibar, Wahindi, Wazungu hasa Wataliano, na watu wa pwani hasa wale wanayoyafanya na watu wengine wanayoyafanya, wanayaelewa zaidi pia, ila niliwahi kusikia kutoka kwa Dr. mmoja kwenye redio kuwa, wakati wa kujifungua mwanamke anakuwa hawezi kumpush mtoto vizuri ili atoke, kuna mtu alishawahi kuniambia kuwa nguvu za binadamu zinapungua, akishafanya mchezo huo, na hasa kama anaufanya mara kwa mara, uwezo wake wa kubeba kitu kizito or kupush kitu kizito au mtoto vizuri unasuasua, anakuwa tu anajamba hovyo na hata kujinyea, so kama mwanamke anaendelea kudo hivyo mara kwa mara, wakati wa kujifungua inabidi asokomezewe khanga kwenye anus ili aweze kumpush mtoto vizuri, na siyo kujamba hovyo na kujinyea cause anavyoshindwa kumpush mtoto vizuri, mtoto anaweza kufa anavyozidi kubanwabanwa, wakati yeye anataka kutoka. Kwa upande wa rafiki yako sidhani kama hayo yanaweze kumtokea kama alikuwa hafanyi mchezo huo mara kwa mara na hajaufanya kwa muda mrefu sana, ni vizuri, unajua, wanawake wengi hawaupendi huo mchezo kabisa, ni wachache wanaoupenda, wengi wanafanya hivyo kuwaridhisha tu wanaume wao ili wasiachwe kwasababu wanawapenda, wana pesa sana au wamewaahidi watawaoa au kazi au cheo au marks za juu kwenye mitihani au kufaulishwa, wengine wanafosiwa yaani wanalazimishwa hata kwa kupigwa pia, ili wakubali kufanya hivyo, ni kosa, unaweza kabisa kumpeleka mahakamani mwanaume wa aina hiyo na kama ni Mume wako kuhitisha kikao cha kifamilia
chenye watu wenye busara, usisahau ndugu zako pia kwenye hicho kikao na kuwaeleza yanayokupata, ikishindikana mpeleke mahakamani,
usione aibu, ni kwa kujali ubora wa afya yako, utaepuka magonjwa mbalimbali, mfano kansa ya utumbo mpana na Ukimwi unaopatikana kirahisi kwa kufanya kitendo hicho kutokana na michubuko kuwa mingi, kwasababu, hakuna utelezi wa asili, kwasababu, hapakuumbwa kwa ajili ya kufanyia sex, watu wanatumia tu utelezi artificial, kwa mfano asilimia kubwa ya wanaume wa kizungu Ulaya na Marekani wenye Ukimwi, ni mashoga, asisite kuolewa, watu waliokwishafanya au kufanyiwa kwa nguvu hicho kitendo, ni wengi sana kila mahali Duniani, wapo baadhi ya manesi, madaktari, wahasibu, wanamuziki maarufu, viongozi wa dini, wanasheria, wanasiasa, mapolisi, waigizaji n.k, wanaume na wanawake, walioa na kuolewa na ambao bado hawajaoa na kuolewa, hayuko peke yake, asijilaumu kama alikuwa anakubali kufanya hivyo kutokana na sababu nilizozitaja awali, just ajisamehe, asimueleze Mumewe mtarajiwa, asije na yeye akataka, na kama akigundua Mkewe alishafanya hiyo anal sex, amueleze tu ukweli ikibidi na sababu zilizomfaya akubali kufanya hivyo, na kama anakipenda au hataki tena kitendo hicho,mwanaume aliyestaarabika atamuelewa, akianza kumsumbua pia, asisite wala kuona aibu, kama hataki, hataki na hataki tena kitendo hicho, ni kikao au mahakamani, akitaka atumie hospitali za binafsi kujifungulia, kwa madhara zaidi ya anal sex, aangalie kwenye website ya google.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Thanks Edson, alishaacha huo mchezo na anajuta. Sasa hiyo opareshen ataomba afanyiwe tu hata kama hana sababu ya kufanyiwa oparesheni, si hata Dr atamshangaa

Dr. akishamchunguza, mwenyewe atajua kama mgonjwa wake ni wa operesheni au vipi, ni case inayojulikana sana mahospitalini siku hizi, wengi wao wanapenda kwenda kujifungulia hospitali binafsi, kama ameshaamua kuachana na mchezo huo, asijilaumu, wala asisikileze maneno ya watu, ajisamehe, abadilishe maisha yake yawe mapya na ya furaha, usikubali kurudia kwa mfano uteja eti kwasababu bado watu wanakusema kuwa ulikuwa teja, badili maisha yako, ishi utakavyo, na muombe Mungu azidi kukubadilisha, uishi vizuri katika mabadiliko hayo ya kukataa vitendo viovu maishani mwako.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Dah, halafu hayo mambo wanaume wa siku hizi wanayapenda mno, asilimia kubwa ya wanaume siku hizi wanaupenda huo mchezo, sijui ni kwanini, kuhusu matatizo wakati wa kujifungua nafikiri wenzetu Waarabu, Wasomali,Wazanzibar, Wahindi, Wazungu hasa Wataliano, na watu wa pwani hasa wale wanayoyafanya na watu wengine wanayoyafanya, wanayaelewa zaidi pia, ila niliwahi kusikia kutoka kwa Dr. mmoja kwenye redio kuwa, wakati wa kujifungua mwanamke anakuwa hawezi kumpush mtoto vizuri ili atoke, kuna mtu alishawahi kuniambia kuwa nguvu za binadamu zinapungua, akishafanya mchezo huo, na hasa kama anaufanya mara kwa mara, uwezo wake wa kubeba kitu kizito or kupush kitu kizito au mtoto vizuri unasuasua, anakuwa tu anajamba hovyo na hata kujinyea, so kama mwanamke anaendelea kudo hivyo mara kwa mara, wakati wa kujifungua inabidi asokomezewe khanga kwenye anus ili aweze kumpush mtoto vizuri, na siyo kujamba hovyo na kujinyea cause anavyoshindwa kumpush mtoto vizuri, mtoto anaweza kufa anavyozidi kubanwabanwa, wakati yeye anataka kutoka. Kwa upande wa rafiki yako sidhani kama hayo yanaweze kumtokea kama alikuwa hafanyi mchezo huo mara kwa mara na hajaufanya kwa muda mrefu sana, ni vizuri, unajua, wanawake wengi hawaupendi huo mchezo kabisa, ni wachache wanaoupenda, wengi wanafanya hivyo kuwaridhisha tu wanaume wao ili wasiachwe kwasababu wanawapenda, wana pesa sana au wamewaahidi watawaoa au kazi au cheo au marks za juu kwenye mitihani au kufaulishwa, wengine wanafosiwa yaani wanalazimishwa hata kwa kupigwa pia, ili wakubali kufanya hivyo, ni kosa, unaweza kabisa kumpeleka mahakamani mwanaume wa aina hiyo na kama ni Mume wako kuhitisha kikao cha kifamiliachenye watu wenye busara, usisahau ndugu zako pia kwenye hicho kikao na kuwaeleza yanayokupata, ikishindikana mpeleke mahakamani,usione aibu, ni kwa kujali ubora wa afya yako, utaepuka magonjwa mbalimbali, mfano kansa ya utumbo mpana na Ukimwi unaopatikana kirahisi kwa kufanya kitendo hicho kutokana na michubuko kuwa mingi, kwasababu, hakuna utelezi wa asili, kwasababu, hapakuumbwa kwa ajili ya kufanyia sex, watu wanatumia tu utelezi artificial, kwa mfano asilimia kubwa ya wanaume wa kizungu Ulaya na Marekani wenye Ukimwi, ni mashoga, asisite kuolewa, watu waliokwishafanya au kufanyiwa kwa nguvu hicho kitendo, ni wengi sana kila mahali Duniani, wapo baadhi ya manesi, madaktari, wahasibu, wanamuziki maarufu, viongozi wa dini, wanasheria, wanasiasa, mapolisi, waigizaji n.k, wanaume na wanawake, walioa na kuolewa na ambao bado hawajaoa na kuolewa, hayuko peke yake, asijilaumu kama alikuwa anakubali kufanya hivyo kutokana na sababu nilizozitaja awali, just ajisamehe, asimueleze Mumewe mtarajiwa, asije na yeye akataka, na kama akigundua Mkewe alishafanya hiyo anal sex, amueleze tu ukweli ikibidi na sababu zilizomfaya akubali kufanya hivyo, na kama anakipenda au hataki tena kitendo hicho,mwanaume aliyestaarabika atamuelewa, akianza kumsumbua pia, asisite wala kuona aibu, kama hataki, hataki na hataki tena kitendo hicho, ni kikao au mahakamani, akitaka atumie hospitali za binafsi kujifungulia, kwa madhara zaidi ya anal sex, aangalie kwenye website ya google.
unafaa kua mwandishi wa habari maana mi nimeona kauvivu kusoma,then mwandiko wako mzuri ni nana mwalimu wako wa mwandiko ulipokua chekechea!?
 
inabidi atafute anayefanana nae a.k.a wazibua choo,kama yule wa kwanza kakata kamba atafute mwingine wa kumuoa au amwambie huyu ukweli ali aweze kuamua kama ataendelea naye au atampiga chini,ndoa haitakiwi kuanza na uwongo na siri kibao unatakiwa kuanza na faili jipya zuri.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom