white rose
Member
- May 24, 2015
- 61
- 22
Habari ya weekend wapendwa, mm ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 nna mtoto mmoja na mm ni single parent. Nashukuru Mungu nna kazi nzuri inayonilipa vizuri(private sector). Nimejiwekea vijipesa vyangu na sasa angalau nina amount kubwa. Nlikuwa naomba ushauri ndugu zangu, eti nifanye kipi kati ya haya
* ninunue kiwanja nianze kujenga
*ninunue gari nliyokuwa natamani kwa muda mrefu
*nitafute biashara ya kufanya
NB:hyo pesa inatosha kufanya kimoja tu kati ya hivyo
Natanguliza shukrani.
* ninunue kiwanja nianze kujenga
*ninunue gari nliyokuwa natamani kwa muda mrefu
*nitafute biashara ya kufanya
NB:hyo pesa inatosha kufanya kimoja tu kati ya hivyo
Natanguliza shukrani.