weka shida yako hapa mkuu!!hapa hapaharibiki neno boss utashauriwa na kuburudishwa pia!
Itasomwa na kuchangiwa.Ni stori ndefu Zama
Achana na mambo ya kupenda kama mimi. miaHabari wana JF,
Naombeni msaada kwa anayejua mshauri mzuri wa mambo ya mhusiano. Nahisi kama BP inanisakama kwa mawazo na uchungu nilionao.
asanteni.
Ni pm ntakusaidia
Habari wana JF,
Naombeni msaada kwa anayejua mshauri mzuri wa mambo ya mhusiano. Nahisi kama BP inanisakama kwa mawazo na uchungu nilionao.
asanteni.
Pengine hataki isome na publicItasomwa na kuchangiwa.
Jinsia yako tafadhali.