Ushauri tafadhali

Ushauri tafadhali

eeeh! Kwa hiyo akiposa ndo anasaka nyumba wanahamia na mkewe kila mmoja katoka kwa mzazi? Hivi ulishaona mkaka akiudhiana na mkewe anachukua kibegi huyooooo kwa mamake? Nilishaona hii kituko aisee, kama comedy

HAHAHAHAHAHAH sipati picha, mkaka arudi kwao..........

Unajua KING'sti mama mtu hana amani na mwanae kujitegemea......labda anaona matumizi yatapungua sasa hili inategemea na akili za mtoto kwa vile mama mtu anajua tabia za mwanae.....

Au ndo uzee tena wazazi wanahold tu kwa mtoto.....

Yote inategemea atamconvince vipi mama yake...... Nakumbuka hata mie kujitegemea ilikuwa issue maana mama kwangu ni zaidi ya mzazi, mashosti kila kona tupo wote ila mwisho wa siku alikubaliana na hali halisi

lakini vile kodi zilivyopanda jamani......
Si angenunua kiwanja?
Akajenga vyumba 2 na sebule ndo
akahama?
Au anahofia muda atakaomaliza kujenga?
 
Last edited by a moderator:

Yaani unataka kuniudhi ujue. Shosti kaolewa na janaume la hivi, ofcoz limejengeshwa frames za biashara kwa mamake badala likapange. Dada akaweka sharti la kuolewa kwa kukodi nyumba. Kaka akakubaliwa akahama. Baada ya kodi ya mwaka kuisha na vituko vya mume akitoka job anamuambia wife njoo kwa mama unibebee nguo za siku mbili tukakae nao; ikatolewa amri warudi home. Mwenye nyumba kawafanya chuma ulete blah blah. Huyo dada walinunua kiwanja na mumewe, mama alikuja akamtukana sawia! Imagine tunahangaika tuwe na viwanja na mashamba mjini, mama anasema ile nyumba pale ni ya mwanangu. Nyumba yenyewe ya kizamaniiii, agu familia ya ugomvi kutwa kucha. Shosti ana mwaka wa pili ukweni, kuna wifi mwenye mjukuu mumewe alikufaga, she is jobless. Kuna mwingine jobless, hawara japo anamuita mume, alikufa. Wote wana watoto kadhaa. Na wanakaa hapo home. Hamna anaejua kufagia wala kudeki. Tumemkomboa shosti kisiasa ila hata akiumwa anaenda kulala ofisini kuliko ashinde home. Hayo maisha gani? Nyambaff!
 
Last edited by a moderator:
pole aisee,bi mkubwa anakuchelewesha ina maana hata mawazo yako yatachelewa kupanuka
naomba usiruhusu hilo,simamia msimamo mmoja na onyesha kuwa una nia ya kufanya kitu.

usizubae sana.utajikuta umechelewa kufanya baadhi ya mambo
 
Mie niliolea home

Wakaamua waniache nende zangu

Walichikaje, hawakuwa na hamu kabisa

waswahili hawakubali uhame hata una watoto 7 wa ndani, wa nje ukileta mama ndo anajidai kuwalea. Mbona kazi yaani! Mwanaume anaekaa kwao hawezi nioa, ng'oooo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom