Ushauri tafadhali wakuu

huo uandishi..unajiona kama ''starring'' vile.....

Tena ukomepo mi watu ka hao cwaonei hurumaaaa......
Na ushukuru hukupata ukimwi wala magonjwa ya ngono

Hongera kwa kuwa baba kijachooo na pia hongera kwa kuanza chungulia jeraaa mpendwaaa
 
Onguluo

Watu kama wewe mpo wengi sana kwenye hii dunia elimu huna umetoka kwenye broken family unakwenda disco unachukua demu hujatumia hata kinga.Huyo mwanafunzi ana umri gani?

Ana umri wa miaka 20.
 
Last edited by a moderator:
Kumbukeni kwamba hakuniambia kuwa yye ni dent na sasa anadai pesa ili akatoe ili akachomoe.
 
usikimbie majukumu we mwanaume wenzako wanalilia watoto we unakataa mimba..ila jela itakuhusu
 

dah under 30 boys ni sheeeda. mara club mara bar. jaman bora mzee atakuheshimu.
 
Tutoleeee upuuzi wako apa,
 
Unachukua kahaba disco na kuzini nae bila kutumia kondomu, hukujua kuwa kuna UKIMWI??



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana unaonekana hujali afya yako kabisa, umekutana na Dem disko unamla bila kondomu, umekutana na jimama muuza asali umekula bila kondomu, nk nk!!

Jamani tuwe makini na afya zetu
 
Kijana unaonekana hujali afya yako kabisa, umekutana na Dem disko unamla bila kondomu, umekutana na jimama muuza asali umekula bila kondomu, nk nk!!

Jamani tuwe makini na afya zetu
Ndio hivyo,ilikuwaga mzee .
 
Ndio hivyo,ilikuwaga mzee .
Kwa kuwa umepima na umesalimika upo HIV negative, nakushauri achana na ngono zembe, tafuta mwanamke mmoja pima nae, akiwa yupo salama kuwa nae huyo huyo mmoja mwaminifu, kijana wa 30 years ni nguvu kazi ya taifa, usichezee afya yako kizembe!

Ukishindwa kuwa na mmoja mwaminifu, tumia kondomu kwa kila tendo, UKIMWI upo na unaua na kuangamiza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…