Fikra Angavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 301
- 105
TABII STAKIRI
Chunga upulikayo,
Ya walimwengu ni zakayo,
Punga ya hofu ni uikibaliyo,
Macho ya ubongo ni zaidi ya uonayo.
Ya farisi ya farisi,
Ya bahaluli tuyafilisi,
Fakiri tumuabiri vizuri ajihisi,
Macho ya ubongo ni yako majilisi.
Chunga upulikayo,
Ya walimwengu ni zakayo,
Punga ya hofu ni uikibaliyo,
Macho ya ubongo ni zaidi ya uonayo.
Ya farisi ya farisi,
Ya bahaluli tuyafilisi,
Fakiri tumuabiri vizuri ajihisi,
Macho ya ubongo ni yako majilisi.