Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

wala usiumie sepa utaona atakavyohaha shenzy kweli
ukitaka kujua tabia za binadamu afanikiwe kidogo ndo utamjua
 
SAWASAWA MKUU HILO NDO LA MUHIMU.........
 
hayo ndo maamuzi ya kiume,,,,,,wanawake wanasomeshwa na wazazi wao tuuuu.............hakikisha mwanao yuko vema.....
 
mnaoaga kwa kufuata mkumbo.....? ukiona hamuelewani na mwenzio kuna mshenga kisha kuna wazazi, nenda huko utaata ufumbuzi. kupenda ni rahisi lkn kazi kulienzi pendo.
 
Mkuu pole sana, uko sahihi , endelea na mipango poti.

My philosophy:
Mke/mchumba hasomeshwi , kama hakusoma kwao ndo basi tena.
 
Aiseee wale watu wanaowazuia wake zao kufanya kazi yoyote ili wawe mama wa nyumbani wakiuona uzi huu hata Kama walikuwa na nia yakuregeza misimamo yao hakiyamungu lazima waendelee kukaza hawsaa...
Maana Mada Hii inaumiza Sana
Kweli kaka
 
Mh kwanza pole. Lakini dawa ya tatizo ni kutatua ndugu siyo kukimbilia nje ya nchi maana huko nako wapo heart breakers tu. Cha kufanya nenda bukoba kisirisiri usimwambie chunguza anapoishi fanya uchunguzi kwa makini ujue jeuri anaipata kwa nani, ukishajua tu wewe leta mrejesho.

Sikuungi mkono kuuza nyumba zako na kuondoka hata kama ungekaa 10 years huko nje. Kwa sababu nyumba ni asset ipo tu na itaendelea kuwepo mtoto wako si yupo? Huyo mwanamke kama ni wa ndoa huwez mkimbia kihivyo hata kama ana makosa kuna sheria zitakubana. Tuliza kichwa baba ndoa zina changamoto usipime hiyo yako ni cha mtoto!!! Mwanaume wa kweli anatatua matatizo wala hayakimbii.
 
Kuuza nyumba bila CONSENT ya huyo mke,utakuwa unamuingiza matatizoni mnunuzi,kaeni chini na mkeo,gawaneni kila mtu akafie mbele.
Sheria haitambui kama mke alikuwa anakucheat,muonee huruma mteja wako ambae atakuwa anasumbuka wewe ukiwa UKRANE.
 
Usimuhusishe kuhusu mipango yako,lakini angalau acha mazingira salama unakotoka ila pia ukirudi uwe na amani,kwakuwa umeamua basi,ningekuwa mimi ni kila mtu afe na chake.
 
Tumekusikia wewe wa upande mmoja kwa vile haiwezekani tu na yeye kumsilikiza, tungekuwa tumesikiliza pande mbili ndio tungekupa ushauri murua!
 
Upo sahihi kamanda. Kama uliyoandika hapa ni sahihi basi upo sahihi kwa asilimia 800.

Piga chini mhudumie mwanao tafuta mtoto mwingine mzuri utulie.
Huyu mjomba vipi? Mbona tatizo dogo sana Hilo? Au huyo mke wake aliozeshwa Kama zile ndoa za kidosi au kiarabu?
 
uko sahh hv viumbe kk havina formular ukitaka kua perfect unaonekana mjinga ukiwa harsh lawama
bt gud idea ulio nayo nw ww hangaika na mwanao tu huyo ww achana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…