Ushauri: Siyaelewi haya maisha ya ndoa

So Hapo hamna undugu je nikija kulipa mahari inakuaje hapo?
Ukisha muoa rasmi,maisha yatakua super tu,huyo Mwanamke atarudi kwenye hali yake ya kawaida kama mwanzo na huko kwao watampokea vizuri tu,Mwanamke wako ana tatizo la stress kwasasa coz ya issue ya nyumbani kwao.
 
Broo,mbona scenario kama yangu ,tuko wengi wenye hizo dillema hasa hasa ukishazaa namtu ,halafu unakuta mwanamke yy anaona kinga yake nikizaa naww ,lkn anatabia mbaya nawala haoni kama anawajibika kubadirika ,unakua na stress sana nakichwa kinakuavkinawaka moto ,,,kumbe msemo wakichwa kinawaka moto aisee nikweli...unakuavhaufurahii mahusiano.
 
Mi skushauri umuache,ila utamuacha siku moja..
kinachokuponza ni umemzoea ila huna mapenz nae tena,au nyote hampendani tena..
 
Kununa VP mkuu , make your women happy , sijaona sababu ya kumuach huyo.mtu ni kwamba mnakuw tuu[emoji338][emoji16][emoji991]
 
UNAMPENDA?
 
Ongea nae muweke wazi juu ya tabia zake mbaya zinazokukwaza (japo naww hatujajua una tabia zipi).

kisha mpeane space ya kila mtu kujitazama upya then mtaamua wenyewe. Usioane na mtu eti kisa umezaa nae, utajuta baadaye.
 
Trust your instincts, intuition doesn't lie.
 
Mungu anitie nguvu aisee mwanamke hapendi suluhu inaboa sana.

Najikuta muda mwingi niko karibu na Simu na kuongea nae wengi inanibidi niongee nawatu wengine
Tuliooa tumepitia kipindi hicho. Ila mpuuze, pambania ndoto zako
 
tabia nyingi alizonazo wanawake wengi wanazo,kwahyo jifunze kuishi na mwanamke,wewe unafikiri magari yameajaa bar kila siku jioni unafikiri wanaume wote hawapendi kuwahi nyumbani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…