USHAURI: Simuelewi mume wangu

Mmmh wewe ni mtata kwa kauli hizi utachapiwa tu.
Huenda amekukinai
 
Amina, kila nikijaribu kuongea nae anaishia kunambia tatizo anachoka sana hili ndo jibu lake kila nikimuuliza hana jibu lingine
 
Maybe libido yake imeshuka… Jaribu kuzungumza nae? Au umuache tu? Ni hatari sana

Pole sana 🤔
 
Inaelekea ndoa yenu changa, jaribu kutawala hisia kabla hujachepuka.
Huenda ni hali ya kawaida nasi huwa tunapitia kuwa huna mvuto na kei kwa muda.
Mpe muda
 
Hii ndoa ina heka heka nyingi
Yani acha tu heka heka haziishi kilichobaki hapa nataka nianze kutafuta dawa ya kukata nyege ili tubaki tu na amani tulee mtoto maana bila hivyo naweza jikuta nimechepuka Jambo ambalo litafanya nijidhalilishe na kuivunja ndoa kwa mikono yangu Bora nifanye mpango na Mimi nisiwe tu na hisia tuishi wote Kama magogo
 
Kweli hiyo ndoa ngumu maana bila kuoelekewa moto hapo hamna ndoa
 
Hujapandikizwa kama Nguzo ya umeme wala kupandikizwa kama mwembe kwa huyo mwanaume...Life is too short to wait a second, and waste a time

Kua na mtu anayevutiwa na mwenye hisia nawe.

CristCole Was here...🚶🚶
 
Mwenzio anawaza jinsi gani ya kupata pesa hainue familia kiuchumi au muweze kula ila wewe unawaza kubanduliwa tu. Ebu jaribu kuongea nae kuhusu masuala ya mipango kusaka pesa uone atakavyokufungukia yaliyo moyoni mwake
Ndio torati ya ndoa mkuu kubanduana ni sheria
 
Mtahubiri sana tu...

Jamaa keshamzoea sana anamuona wa kawaida tu hana jipya!

Itahitaji approach ya kisaikolojia ili kumrudisha kwenye mstari!
 
Amina, kila nikijaribu kuongea nae anaishia kunambia tatizo anachoka sana hili ndo jibu lake kila nikimuuliza hana jibu lingine
Nahisi unamuuliza ikiwa tayari una akili ya kutaka haki yako.
Hapo hutoweza kupata jibu stahiki na pia hutoridhika na chochote utakachojibiwa. Kumbuka ikiwa ana tatizo la nguvu za kiume na wewe ukiwa unamuuliza nini tatizo ilhali upo mtupu pembeni yake ni sawa na kumtonesha kidonda. Hujui jinsi gani anahisi kudhalilika.

Swali hilo linapaswa maandalizi. Iwe ni siku maalum ambayo toka asubuhi unamtengenezea amani ya moyo. Unaweza mwambia muende out kubadilisha mazingira. Hakikisha humfanyii mahojiano bali fanya majadiliano. Kuwa kama wewe ndio mwenye tatizo. Muaminishe kuwa ni jambo la kawaida kuwa na tatizo endapo lipo na wewe haupo hapo kumuhukumu bali kulitatua nae.
Ni swala la muda tu atafunguka na mtajua pa kuanzia.
 
Na kweli msioe subirini Hali itulie, nahisi no. 1 hapo Kama ni kweli basi inaweza ikawa ni sababu coz nimemzoea sana na mimi huwa sipendi kuvaa nguo Mara nyingi huwa napenda kuvaa kanga moko na tukibaki peke yetu kanga nikiona inanikera huwa nayo natupa uko nabaki hivyo hvyo cna kitu hata chupi hivyo inawezekana labda kakinai kweli, na swala la kumkalia kwenye mapaja huwa namkalia nikiwa hivyo tunapiga story Ila hata hashtuki sijui sasa anakwama wapi huyu mwanaume jamani
 

Mbona una ongea kwa gadhabu namna hii
 
Hujapandikizwa kama Nguzo ya umeme wala kupandikizwa kama mwembe kwa huyo mwanaume...Life is too short to wait a second, and waste a time

Kua na mtu anayevutiwa na mwenye hisia nawe.

CristCole Was here...

Snitch wa alicent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…