Kutojua kutongoza pia ni kipaji mkuu. Sio wanaume wengi wanacho so just embrace it. By the way sio lazima utongoze ndio ung'oe totoz, smtimes inatokea automatically janga urafiki tu na wanawake unaowapenda, jifunze wanapendelea nn, fanya/ongea vitu wanavyovipenda.
Baada ya hapo utashangaa mpo kwenye mahusiano.