Ushauri: Sijapata mtoto kwenye ndoa nahitaji wa kuzaa naye nje. Naumia kwa msongo wa mawazo (Depression)

Usikurupuke utajuta maisha yako yote tena hao chini ya 30 ni drama queens utalia na kusaga meno
Bora mjikite kwenye maombi maana sioni ukizungumzia kumwomba Mungu
Ukikurupuka yatakukuta kama yale mume wa queen darling kaoa kazaa na mke mdogo Mungu naye akampa uwezo mke mkubwa wa kushika mimba kuwa mvumilivu utapata tu ukiweka jitihada na punguzeni ile pressure ya kutaka watoto
 
Niligangaika sana hospital period ilikuwa haijakaa sawa niweza kaa miezi sita sijapata hakuna hospital sikwenda. Siku mojq daktari aliniambia siwezi zaa nililia sana niliyakataa hayo maneno ndio nikaanza kuomba
Nilimuomba Mungu kwa imani sikukata tamaa. Miaka minne mfululizo nilikuwa naamka usiku ndani ya saa moja naomba.
Nilitafuta vifungu vyote kwenye biblia vinavyohusiana na uzazi nakili hivyo.

Mambo mengi ya uzazi ni tatizo la kiroho either unalijua au hulijui. Unavyomuomba Mungu atakuonyesha nini chanzo cha kukosa uzazi maana neno lake linasema hakuna tasa wala mwenye kuharibu mimba.

Usikate tamaa kutumia dawa ilimradi tu zisiwe za kutoka madhabahu ya shetani.
Pia hata virutubisho husaidia maana matatizo mengi ya homone yapo kwenye lishe.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Can you please recommend hizo virutubisho.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unatafuta mwanamke anaejua shida yako ni mtoto, na anajua inawezekana tatizo lipo kwako, atajiongeza utaletewa mtoto, mke anajua ataachwa anajiongeza unapata watoto wa kutosha, siku ukigundua kuwa wewe ndio huwezi kupata mtoto ndio utaelewa maana ya dunia uwanja wa fujo.

Hio pressure uliyonayo watakuja hata wenye mimba za mwezi mmoja zilizokataliwa ili wewe ulee!!! Utaelewa baadae maana ya mime bwege
 
Hormonal imbalance mbona tatizo la kawaida tu, madawa sometimes ni ngumu Ila Virutubisho vinafanya kazi vizuri sana.


Madawa kwa asilimia kubwa yapo vizuri kwa Magonjwa yanayosababishwa na vimelea (pathogens).

Ila kwa Magonjwa ambayo ni chronic (metabolic syndrome) ni ngumu sana.


Ndio maana watu wanahangauka sana na kisukari, presha, Kansa, stroke nk

NASHAURI HAMIA KWENYE VIRUTUBISHO (SUPPLEMENTS).
 
1.anakitu inaitwa mirija imeziba
2.kuna dawa ya fulani akitapishwa tu inaisha ila kumpata huyo mtu ndio gharama yupo mbali sana na hapo kwenu
Hii yakutapisha mke wangu ameitumiaa lakini bado haijasaidiaa..ingiwa kuna watu nawajua walifanikiwa
 
Hormonal imbalance mbona tatizo la kawaida tu, madawa sometimes ni ngumu Ila Virutubisho vinafanya kazi vizuri sana.


Madawa kwa asilimia kubwa yapo vizuri kwa Magonjwa yanayosababishwa na vimelea (pathogens).

Ila kwa Magonjwa ambayo ni chronic (metabolic syndrome) ni ngumu sana.


Ndio maana watu wanahangauka sana na kisukari, presha, Kansa, stroke nk

NASHAURI HAMIA KWENYE VIRUTUBISHO (SUPPLEMENTS).
 
mkuu nichek pm nikuelekeze uende clinic ya tiba ya asili(sijui bado km watakuwa hapo hapo ),mm nilikuw nachangamoto hiyo kwa mke wangu tulienda kwa dokta tukashindw kutokana na bei yake kipind nashuka ground floor nikaona bango nikaingia hapo kumuona dokta ni free na box la dawa ni 25,000 ndan ya mwez.

Maajabu ya Allah mke wangu alishika ujauzito na nikapata mtoto wa kiume na saiv anamwaka sas,kwahy usijilaum san wala kujutia wala usije muoneshea ishara yyt ya kumkatia tamaa
 
Unaacha kutafuta solution ya kudumu, unataka short cut hivi unawajua vizuri kina Mwajuma nichokonoe??!
Utazaa nae ila jiandae kurogwa na ukoo wako wote hatokubali aishie kuzaa na wewe tu. Atataka mpaka furaha na Amani yako ya ndoa aichukue!
 
Back
Top Bottom