Ushauri: Sijapata mtoto kwenye ndoa nahitaji wa kuzaa naye nje. Naumia kwa msongo wa mawazo (Depression)

Asabte kwa ushauri ila kama hutojali naomba mawasiliano ya uyo boaz
Ingia tu Insta au hata youtube ana channel yake. Andika boaz mkumbo utamuona. Then soma.makala zake mbalimbali af ukiona unahitaji zaidi wasiliana nae personally.
Pia ana kitabu kinaitwa sayansi ya mapishi if sijakosea. Kina muongozo wa vyakula.
I had a friend alikua na the same problem kama ya wife ako. Akaanza kufuata huo utaratibu plus mazoez. Uzito ukaanza kushuka, by mwez wa 3 akaconceive. Mpaka sa hv ana mimba kubwa tu
 
Una special seat mbinguni
 
Huyu jamaa miaka 31 ana haraka sana. Mke wangu alipata ujauzito baada ya miaka 9.
 
Umeandika upumbafu gani leo jpili umkule mtot wako
 
Thanks
 
1.anakitu inaitwa mirija imeziba
2.kuna dawa ya fulani akitapishwa tu inaisha ila kumpata huyo mtu ndio gharama yupo mbali sana na hapo kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…